SERIKALI YAELEZEA MAFANIKIO ZIARA ZA RAIS MAREKANI, UGANDA NA ROYAL TOUR
Na Mwandishi Wetu, DarMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amefafanua mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, nchini Marekani...
View ArticleUNAIDS YAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI KUKABILIANA NA UKIMWI
Na Mwandishi wetu, DarShirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi (UNAIDS) limepongeza jitihada zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI...
View ArticleWAZIRI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO U.A.E
Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), nchini...
View ArticleBALOZI MULAMULA ATETA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA SWITZERLAND
Na Mwandishi Wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Nchini Switzerland katika...
View ArticleBalozi wa Tanzania, Kuwait Awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Said Mussa akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Naibu Amiri na Mwanamfalme wa Kuwait, Sheikh Mishal Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah jijini Kuwait. Balozi wa Tanzania...
View ArticleBBALOZI MBAROUK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UAE
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa UAE, Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al...
View ArticleWAZIRI MULAMULA AFANYA ZIARA KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA KESI MASALIA ZA...
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amefanya ziara ya kikazi katika Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (IRMCT) tarehe 21...
View ArticleSEKRETARIETI YA AfCFTA YATOA ELIMU KUHUSU MKATABA WA AfCFTA
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Omar Said Shabaan akifungua Warsha ya pamoja ya Wabunge na Wajumbe wa Baraza Wawakilishi ili kuwa na uelewa wa pamoja na...
View ArticleTANZANIA YAFUNGUA KONSELI KUU GUANGZHOU, CHINA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 20 Mei 2022 imefungua Konseli Kuu mjini Guangzhou China. Uwepo wa Konseli Kuu katika mji huo kuta iwezesha Tanzania kutumia vyema fursa za biashara na uchumi na...
View ArticleZanzibar Mwenyeji wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa la Afrika
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma M. Rajab ameshiriki kwenye ufunguzi wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa la Afrika 2022 (FESTAC 2022)...
View ArticleMKUTANO WA 19 WA MAWAZIRI WA AFRIKA NA NORDIC KUFANYIKA JUNI 2022 FINLAND
Na Mwandishi wetu, DarMkutano wa 19 Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje kutoka katika Bara la Afrika na Nordic unatarajiwa kufanyika Helsinki, Finland kuanzia tarehe 13 – 15 Juni, 2022. Mkutano huo...
View ArticleBALOZI SOKOINE AKUTANA NA BALOZI WA ANGOLA NCHINI
  Balozi wa Angola nchini Mhe. Sandro de Oliveira (katikati) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma kulia ni mwenyeji wake Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...
View ArticleWAZIRI MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI AU
Na Mwandishi wetu, MalaboWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameshiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje la Umoja wa Afrika (AU)...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO ZINAZOTANGAZWA...
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Swahiba Mndeme amewataka Watanzania kuendelea kuchangamkia fursa mbalimbali zikiwemo za...
View ArticleCanada Yaahidi Kushirikiana na Tanzania
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk N. Mbarouk akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant...
View ArticleWAZIRI MULAMULA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA DHARURA AU
Na Mwandishi wetu, MalaboWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika...
View ArticleBALOZI KOMBO, DKT. MAKAKALA WAJADILI CHANGAMOTO ZA UHAMIAJI
Na Mwandishi wetu, Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana kwa mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania, Dkt. Anna Makakala katika Ofisi Ndogo za Uhamiaji Jijini...
View ArticleWAKULIMA WA KUSINI WAVUTIWA NA UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA LONGPING HIGH TECH
Wakulima wa zao la maharage ya soya wa Kanda ya Kusini wamevutiwa na aina ya uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Longping High Tech ya nchini China, ambayo inalenga kuwawezesha wakulima wa...
View ArticleTANZANIA YAPENDEKEZA MKAKATI WA PAMOJA KUPAMBANA NA UGAIDI, MAJANGA AU
Na Mwandishi wetu, MalaboSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezishauri nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa na mpango mkakati wa pamoja katika kupambana na masuala ya ugaidi na majanga...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE KUENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU FURSA ZITOKANAZO NA ENEO...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imejipanga kuendelea kutoa elimu kwa umma na wadau mbalimbali hapa nchini kuhusu fursa zitokananzo na Eneo Huru la Biashara Barani Afrika...
View Article