Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier....
View ArticleProf. Kabudi azungumza na Uongozi wa Airtel jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa kampuni ya Simu ya Airtel, mazungumzo hayo yamefanyika...
View ArticleWaziri Kabudi akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi, akimkaribisha Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier alipomtembelea ofisini kwake...
View ArticleVivutio vya Utalii kutangazwa Malaysia, Ufilipino, Thailand na Indonesia
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIVivutio vya Utalii kutangazwa Malaysia, Ufilipino, Thailand na IndonesiaDodoma, 11 Aprili 2019Makampuni 20 ya Mawakala wa Utalii na Tiketi za ndege (Tour Operators &...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mtaalam wa Uchumi...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza wakati wa kikao na Prof. Helmut Asche (kulia) ambaye ni Mtaalam wa Uchumi hususan masuala...
View ArticleProfesa Kabudi amekutana Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipofika kujitambulisha...
View ArticleProf. Kabudi afungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa China jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi wa China jijini Dodoma. Ufunguzi wa ofisi hizo...
View ArticleWasomi watoa maoni kuhusu EPA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWasomi watoa maoni kuhusu EPADodoma, 12 Aprili, 2019.Tanzania imeshauriwa kufanya tathmini ya kina kuhusu faida na hasara za kusaini Mkataba wa Ubia wa kiuchumi kati ya...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yashiriki uzinduzi wa mji wa serikali
Leo tarehe 13 Aprili, 2019, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imeshiriki katika hafla ya kuuzindua Mji wa Serikali iliyofanyika katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mgeni rasmi...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yafanya kikao cha kwanza cha Menejimenti katika Mji wa...
Leo tarehe 15 Aprili, 2019, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imefanya kikao cha kwanza cha Menejimenti katika Mji wa Serikali uliopo Mtumba jijini Dodoma uliosimikwa rasmi na...
View ArticleDkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na balozi wa Italia nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro(Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mheshimiwa Roberto Mengoni katika ofisi za...
View ArticleDkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Mwakilishi wa JICA nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.), amefanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA)...
View ArticleFursa ya Ajira.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARINAFASI YA AJIRA KATIKA SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA UKANDA WA MAZIWA MAKUU (ICGLR).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, inawahamasisha Watanzania wenye...
View ArticleNafasi za Ajira Katika Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali
Dodoma, 13 Machi 2019TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARINafasi za AjiraWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwahimiza Watanzania wenye sifa kuomba fursa ya ajira iliyotangazwa...
View ArticleTanzania na China zaadhimisha miaka 55 ya ushirikiano
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (Mb.) akitoa hotuba kama mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya...
View ArticleVacancy announcement
PRESS RELEASEVacancy noticeThe Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has received Vacancy Notice for the post of Director General available at the African Development Bank (AfDB) for...
View ArticleUbalozi wa Urusi waadhimisha Muungano kwa Kutangaza bidhaa za Tanzania
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Maj. Jen. Mstaafu Simon Mumwi akitoa neno la ukaribisho kwa wageni mbalimbali walioalikwa kushiriki kilele cha kuadhimisha Siku ya Taifa ya Tanzania (Maadhimisho...
View ArticleMhe. Schreiber asisitiza Tanzania kutosaini mkataba wa EPA
Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati inayohusika na Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani Mhe. Eva-Maria Schreiber amefanya ziara ya siku saba hapa nchini. Mhe. Schreiber amepata fursa ya...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini India waadhimisha miaka 55 ya Muungano
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akiwahutubia washiriki wa hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika katika Hoteli ya Leela Palace jijini New...
View Article