Baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Wakurugenzi wa Idara mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Mabalozi wengine wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Mabalozi wengine na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Mambo ya Nje wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Sehemu nyingine ya Mabalozi wakati Mhe. Membe alipozungumza nao. |
Balozi Mpango akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Mabalozi wenzake mara baada ya Mhe. Membe kumaliza mazungumzo nao. |
Picha zaidi za mkutano huo wa Mhe. Membe na Mabalozi. |
Mhe. Membe akiagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Filiberto Sebregondi mara baada ya mazungumzo na Mabalozi hao. |
Mhe. Waziri Membe akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Balozi Abdulla Ibrahim Al-Sowaidi hapa nchini baada ya kumaliza mazungumzo. |
Mhe. Membe akiteta jambo na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa hapa nchini, Mhe. Francisco Montecillo Padilla mara baada ya kuzungumza na Mabalozi hao. |
Mhe. Membe akiasalimiana na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Alfonso Lenhardt aliyekuwepo wakati wa mkutano huo. |
Balozi wa Rwanda hapa nchini akifuatana na Mhe. Membe alipomaliza mazungumzo na Mabalozi hao. |
Mhe. Membe akizungumza na Waandishii wa Vyombo mbalimbali vya Habari juu ya mazungumzo yake na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hao hapa nchini. |