Balozi Zhong Jianhua naye akimweleza jambo Bw. Mwakanjuki wakati wa mazungumzo yao. |
Bw. Mwakanjuki akifafanua jambo kwa Balozi Zhong Jianhua wakati wa mazungumzo yao huku Bw. Charles Faini, Afisa Mambo ya Nje katika Idara ya Asia na Australasia akinukuu mazungumzo hayo. |
Wajumbe waliofuatana na Balozi Zhong Jianhua wakimsikiliza Bw. Mwakanjuki. |