KATIBU MKUU EAC AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Libarat Mfumukeko. Mazungumzo hayo...
View ArticleBODI YA USHAURI YA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU RUSHWA YAMTEMBELEA PROF. KABUDI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Bodi ya ushauri ya Umoja wa Afrika kuhusu rushwa ikiwa ni ziara ya Bodi hiyo...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA MARA YAFUNGULIWA RASMI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMAADHIMISHO YA SIKU YA MARA YAFUNGULIWA RASMIMaadhimisho ya Siku ya Mara maarufu "Mara Day" yamefunguliwa rasmi tarehe 12 Septemba, 2019 na Mhe. Adam Malima Mkuu wa...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WASHIRIKI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI...
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akihutubia wakati wa Kongamano la kuvutia Biashara, Uwekezaji na Utalii lililofanyika katika hoteli ya Westin Jijini Chennai katika Jimbo la Tamil...
View ArticleKONGAMANO LA MADHIMISHO YA SIKU YA MARA LAFANYIKA
Balozi Ramadhan Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Mara yanayondelea mjini Mugumu,...
View ArticlePROF. KABUDI AKUTANA NA MKURUGENZI WA AFRIKA NA UMOJA WA ULAYA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Afrika,Wizara ya mambo ya Nje,Umoja wa Ulaya na Ushirikiano wa...
View ArticlePROF. KABUDI AMUAGA BALOZI WA RWANDA HAPA NCHINI MHE. KAYIHURA.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Afrika katika Wazara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Wilbroad Kayombo akizungumza wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
View Article“THE REVIEW OF THE NATIONAL INVESTMENT PROMOTION POLICY OF 1996” NATION-WIDE...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRIME MINISTER’S OFFICE(POLICY, COORDINATION AND INVESTMENT) “THE REVIEW OF THE NATIONAL INVESTMENT PROMOTION POLICY OF 1996” NATION-WIDE CALL FOR INPUTS The Government...
View ArticlePROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland Mhe. Marcin Przydacz. Mazungumzo hayo...
View ArticleArticle 0
Tanzania, Poland zakubaliana kuongeza ushirikiano katika biasharaSerikali ya Tanzania na Serikali ya Poland zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika biashara, na kuwataka wafanyabiashara kutoka nchi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS KUFUNGUA RASMI TAMASHA LA UTAMADUNI LA JUMUIYA YA AFRIKA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa pamoja na viongozi wengine kutoka Tanzania na Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa wamesimama kwa ajili...
View ArticlePROF.KABUDI AWASILI NEW YORK MAREKANI KUSHIRIKI MKUTANO WA 74 WA BARAZA KUU...
Balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,Balozi Modest Mero (Kulia) akitoa maelezo kuhusu Mkutano wa 74 wa Baraza la kudumu la Umoja wa Mataifa kwa Waziri wa Mambo...
View ArticleMHE. MAKAMU WA RAIS AFUNGUA RASMI TAMASHA LA NNE LA SANAA NA UTAMADUNI LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Septemba 2019 kwa ajili ya kufungua rasmi Tamasha...
View ArticlePROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MSAIDIZI WA RAIS WA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Msaidizi wa Rais wa Marekani na Mkurugenzi Mwandamizi wa Masuala ya...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU AMUAGA BALOZI WA QATAR
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani M. Mwinyi akimkaribisha Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Balozi Abdulla Jassim Al-Madadadi ambaye amemaliza...
View ArticlePROF. KABUDI ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI KUHUSU MABADILIKO YA TABIA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mabadiliko ya tabianchi unaofanyika wakati wa kikao cha 74 cha...
View ArticleNAIBU WAZIRI DKT DAMAS NDUMBARO AMUAGA BALOZI WA QATAR NCHINI TANZANIA
Balozi wa Qatar nchini Tanzania,Balozi Abdulla Jassim Al-Madadadi akibadilishana nyaraka na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro wakati...
View ArticlePROF. KABUDI AMUWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI UNGA
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI KATIKA TAMASHA LA JAMAFEST LINALOENDELEA JIJINI DAR ES...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu ya Kiuchumi na Huduma za Jamii katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Eliabi Chodota akitoa mchango wake wakati wa warsha kuhusu...
View Article