Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madereva wa taxi kutoka Uingereza wapanda Mlima Kilimanjaro

11 Oktoba 2019, DodomaTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMadereva wa taxi kutoka Uingereza wapanda Mlima KilimanjaroTimu ya madereva taxi watano kutoka Uingereza ilifanya ziara nchini kuanzia tarehe 28...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watalii kutoka Israel wawasili nchini kwa ziara ya siku nane.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devotha Mdachi akiwakaribisha watalii kutoka nchini Israel mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ndege ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Afrika...

12 Oktoba 2019, Arusha.Mkutano wa 30 wa Baraza la kisekta la Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango umemalizika tarehe 12 Oktoba 2019 kwenye Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAKABIDHIWA JENGO JIPYA NA CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) na Balozi wa China hapa Nchini, Balozi Wang Ke,wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo jipya  la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi Uganda Wafanya Mdahalo kuhusu Mwalimu Nyerere

Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima (katikati), Mwambata Jeshi, Brig. Gen. Stephen Mkumbo na Afisa anayesimamia masuala ya Utawala Ubalozini wakiwa katika hafla ya Kumbukizi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF KABUDI KATIKA KONGAMANO LA MIAKA 20 BILA NYERERE - UDSM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), akitoa hotuba yake wakati akifungua kongamano la miaka 20 bila Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julias Nyerere...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Kairuki awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Vietnam

Balozi wa Tanzania nchini China ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Mbelwa Kairuki akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phu Trong...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Job Announcement at the United Nations Environment Program

PRESS RELEASEJob Announcement at the United Nations Environment ProgrammeDodoma, 12th February 2019. The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has received vacancy notification from...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI...

17 Oktoba, 2019TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI ZA AFRIKA NA NORDIC KUANZIA TAREHE 7-8 NOVEMBA 2019Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUAPISHWA RASMI KWA MFALME MPYA WA JAPAN

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKUAPISHWA RASMI KWA MFALME MPYA WA JAPAN   Dodoma, 19 Oktoba 2019Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt. (Mst) George...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AKUTANA NA BALOZI MTEULE WA EU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazugumzo na Balozi  Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA UMOJA WA MATAIFA KUFANYIKA KESHO, DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akizungumza na wanahabari  (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KABUDI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA 74 YA SIKU UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki   Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Bw. Michael Dunford Kaimu Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini alipowasili katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabalozi wa SADC, Qatar watoa wito kuiondolea vikwazo Zimbabwe.

Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mhe. Fatma Rajab akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Eswatini na Afrika Kusini ambao wanaunda kundi la Mabalozi wa nchi za SADC nchini Qatar. Waheshimiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YATAKA ZIMBABWE KUONDOLEWA VIKWAZO VYA KIUCHUMI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masahariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akihutubia katika kongamano maalumu la kujadili vikwazo vya kiuchumi na hatma ya Afrika: Uzoefu kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC Wafanyika JIANGSU

Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC kutoka Jimbo la Jiangsu umefunguliwa leo jijini Nanjing na Naibu Gavana wa Jimbo hilo Ndugu Ma Qiulin. Mkutano huo umehudhuriwa na Mabalozi 11 wa nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) KUIPATIA TANZANIA ZAIDI YA SHILINGI...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba  John Kabudi (Mb) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina Makao Makuu ya Benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIBENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) KUIPATIA TANZANIA ZAIDI YA SHILINGI TRILIONI MOJA KWA AJILI YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA MSALATO WA JIJINI DODOMA PAMOJA NA BARABARA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI AONGOZA UJUMBE WA WIZARA KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akisoma taarifa kwenye kikao kati ya Wizara na Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa...

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic (Norway, Denmark, Finland, Sweden na Iceland) unaotarajiwa kufanyika tarehe 08 Novemba 2019 kwenye...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live