WAZIRI KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa na Balozi wa Canada nchini Mhe.Pamela O'Donnell walipokutana kwa mazungumzo Ofisi za Makao Makuu ya...
View ArticleTanzania yashiriki Mkutano kuhusu Madini ya Almasi nchini India
Tanzania inashiriki katika Mkutano wa Mwaka kwa Nchi Wanachama wa KIMBERLEY PROCESSING SCHEME, unaofanyika Jijini New Delhi nchini India. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Naibu...
View ArticleBARUA HII IPUUZWE
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa barua hii inayosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii inayodaiwa kutoka kwa Bw. Steyn...
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA TDB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (TDB) Bw....
View ArticleMKUTANO WA 39 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC KUANZA KESHO JIJINI ARUSHA
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia mkutano katika ngazi ya Makatibu Wakuu uliomalizika leo Jijini Arusha Makatibu...
View ArticleTumbi Kutumia Sanamu Kufanya Mafunzo ya Afya kwa Vitendo
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani (Tumbi, Kibaha), Dkt. Sylas Msangi akitoa neno la ukaribiho katika hafla ya makabidhiano ya Snamu kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wataalamu...
View ArticleTanzania na Nambia zaweka Mikakati ya Kujiimarisha Kiuchumi
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Wilbroad Kayombo akifanya utambulisho wa viongozi wa Tanzania wanaoshiriki mkutano wa Tume ya...
View ArticleTanzania na Namibia Zajizatiti kukuza Biashara baina yao
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisalimiana na Waziri wa Uhusiano na Ushirikiano wa Kimataifa wa Namibia, Mhe....
View ArticleTANZANIA KUIMARISHA, KUENDELEZA USHIRIKIANO NA FALME ZA KIARABU (UAE)
Serikali ya Tanzania imeahidi kuendeleza ushirikiano wake na Falme za Kiarabu (UAE) katika sekta za biashara, miradi ya maendeleo, utalii, utamaduni, usafirishaji, kilimo na afya.Akiongea katika...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI INASHIRIKI KATIKA...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inashiriki katika Maonesho ya Nne ya Viwanda yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE).Kupitia Maonesho hayo,...
View ArticleMAPENDEKEZO YA TANZANIA ACP YAUNGWA MKONO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwasilisha hoja ya Tanzania katika Mkutano wa 110 wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Afrika,Carribean na...
View ArticleMHE.WILLIAM RUTO AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA ACP
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto akifungua Mkutano wa 110 wa Baraza la Mawaziri kwa Nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta...
View ArticleArticle 0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.EURO MILIONI 140 KUWANUFAISHA WAKULIMA WA MAHINDI NA KOROSHO WA NCHI ZA AFRIKA,CARIBBEAN NA PACIFIC (ACP) TANZANIA IKIWEMO.Jumla ya Euro milioni 140 zimetengwa ili...
View ArticleKATIBU MKUU DKT. MNYEPE ASHIRIKI MKUTANO WA HAKI ZA BINADAMU BEIJING, CHINA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe yupo nchini China kushiriki Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Haki za Binadamu kwa nchi zinazoendelea...
View ArticleTAKUKURU yakabidhiwa jalada la kufanyia uchunguzi upotevu wa fedha katika...
Na Mwandishi wetu,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeikabidhi TAKUKURU jalada la kulifanyia uchunguzi upotevu wa fedha katika Ubalozi wa Tanzania nchini EthiopiaKatibu Mkuu...
View ArticleKATIBU MKUU DKT. MNYEPE ASHIRIKI MKUTANO WA HAKI ZA BINADAMU BEIJING, CHINA.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe yuko nchini China kushiriki Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Haki za Binadamu kwa nchi zinazoendelea...
View Article