Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA WIZARA WALIVYOMPOKEA WIZARANII MHE. PROF. PALAMAGAMBA JOHN...

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI BRIGEDIA JENERALI WILBERT A. IBUGE ATOA SOMO KWA WABUNGE KUHUSU...

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwasilisha mada mbele ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAAHIDI KUENDELEA KUISAIDIA CONGO KULINDA AMANI UKANDA WA MAZIWA MAKUU

 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuendelea kuisaidia Congo kulinda amani na kuhakikisha changamoto za  ulinzi na usalama zinazoikabili nchi hiyo zinatatuliwa ili kuimarisha hali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI: TUTASHIRIKIANA NA TAIFA LOLOTE LINALOIHESHIMU TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amesema Tanzania itashirikiana na nchi yoyote duniani ambayo inatambua na kuheshimu Uhuru wa nchi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SADC WA TROIKA MBILI NA WASHIRIKA WA MAENDELEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITanzania yashiriki Mkutano wa SADC wa Troika Mbili na Washirika wa Maendeleo Dodoma, 21 Novemba 2020Tanzania imeshiriki Mkutano wa SADC wa Troika Mbili (SADC Double Troika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAITHIBITISHIA JUMUIYA YA KIMTAIFA KUENDELEA KULINDA AMANI AFRIKA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihibitishia jumuiya ya kimataifa kuwa itaendelea kutoa vikosi vya kulinda amani na ulinzi katika nchi za bara la Afrika.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FURSA YA AJIRA JUMUIYA YA MADOLA

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Samia kumwakilisha JPM Mkutano wa SADC Organ Troika

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John KabudiNa Nelson Kessy, Gaborone-BotswanaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan...

View Article


VACANCY ANNOUNCEMENT

VACANCY ANNOUNCEMENTApplications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians for the following vacant post advertised by the Southern African Development Community (SADC) Secretariat:-...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKATIBU WAKUU SADC - TROIKA WAKUTANA KUJADILI SIASA NA USALAMA

Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masuala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana.Awali, Mkutano wa Makatibu Wakuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI SADC - TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA

 Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama.Mkutano huo umefanyika leo mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADC-TROIKA, UN KUBORESHA MFUMO WA USALAMA NDANI YA DRC

Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa (UN) zimekubaliana kuboresha mfumo utakao weka ulinzi bora na usalama ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA TANZANIA AFRIKA KUSINI WAPEWA CHANGAMOTO YA KUTEKELEZA DIPLOMASIA...

Na Nelson Kessy, PretoriaUbalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini wapewa changamoto ya kuhakikisha kuwa unatekeleza Diplomasia ya Uchumi pamoja na Diplomasia ya Siasa iliyopo ndani ya Ilani ya Chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA, FINLAND NA SWEDEN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Finland hapa Nchini Mhe. Riitta Swan.Mazungumzo hayo yamefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI IBUGE ATAMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

 Na Mwandishi wetu, Addis AbabaKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA UFARANSA AMTUMIA BARUA YA PONGEZI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akipokea barua ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KATIKA PICHA MATUKIO MBALIMBALI ALIYOFANYA PROF. KABUDI

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea barua ya pongezi kutoka kwa Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Mhe. Frederic Clavier  iliyoandikwa na  Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubalozi wa Tanzania, Qatar Washiriki Tamasha la Kumi la Kiasili la Majahazi

Ubalozi wa Tanzania Qatar ukishirikiana na Wanadiaspora kutoka Tanzania unashiriki kwenye Tamasha la Kumi la Kiasili la Majahazi lijulikanalo kama 10th Katara Traditional Dhow Festival.Tamasha hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA, INDONESIA ZAAHIDI KUENDELEA KUKUZA BIASHARA

 Tanzania na Indonesia zimeahidi kushirikiana na kuendeleza kukuza biashara kwa kuanzisha kwa manufaa ya nchi zote mbili.  Akihutubia katika usiku wa shukrani kwa ajili ya wafanyabiashara wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAJIPANGA KUWAJENGEA UWEZO WA KAZI WATUMISHI WAKE

Mkurugenzi wa Kitengo cha Dispora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Anisa Mbega akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>