Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAFAFANUA MSIMAMO WAKE KUHUSU MGOGORO WA URUSI NA UKRAINE

Na Mwandishi Wetu, Dar Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MULAMULA AFUNGUA MKUTANO WA WANAWAKE KATIKA DIPLOMASIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) leo tarehe 23 Machi 2022 amefungua mkutano wa Wanawake katika Diplomasia (Women in Diplomacy) unaofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UGANDA

Na Waandishi Wetu, DarWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula amemuaga Balozi wa Unganda nchini Mhe. Richard Kabonero ambaye amemaliza muda wake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 15 WA BARAZA LA KISEKTA LA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA...

Mkutano wa 15 wa Baraza la Kisekta la Kilimo na Usalama wa Chakula la Jumuiya ya Afrika Mashariki (SCAFS) leo tarehe 25 Machi 2022 umefikia tamati jijini Dar es Salaam.Mkutano huu ambao umefanyika kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGORONGORO YAIKUTANASHA SERIKALI NA MABALOZI, WAKUU WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA...

Na Waandishi Wetu, Dar*Yasema inazingatia Haki za Binadamu na kuwawezesha wale watakaoondoka kwa hiyari katika maeneo hayoSerikali imesema haitamzuia mtu yeyote anayetaka kuondoka kwa hiyari katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA, LIECHTENSTEIN KUWEKEZA KATIKA KILIMO HAI

Na Mwandishi wetu, DarTanzania na Liechtenstein zimekubaliana kuweka mpango mkakati wa kuwekeza katika kilimo hai na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo katika mikoa ya Morogogo na Dodoma.Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MAKABIDHIANO YA MAJUKUMU YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA...

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Innocent Shiyo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika hafla ya kupokea majukumu ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA ANAYEISHI NCHINI CANADA AONESHA NIA YA KUWEKEZA NCHINI KATIKA SEKTA...

Mtanzania anayeishi nchini Canada Bw. Joseph Katallahameonesha nia ya kuja kuwekeza nchini katika sekta ya miundombinu kwa kushirikiana na kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya nchini Marekani hususan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VACANCY ANNOUNCEMENT AT AfDB

 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAENDELEA KUWASIHI WAWEKEZAJI KUWEKEZA NCHINI

Na Mwandishi wetu, DarSerikali imeendelea kuwasisitiza Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuwa Tanzania ni salama kwa biashara na uwekezaji na kuwasihi kuendelea kuwekeza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEKNOLOJIA ILIYOLETWA NA MWEKEZAJI DIASPORA ANAYEISHI NCHINI CANADA YAVUTIA...

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ziara ya wiki mbili ya Mwekezaji Diapora kutoka nchini Canada, Bw. Joseph Katallah ambaye ameonesha nia ya kuwekeza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania, DRC Awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Said Juma Mshana (kushoto) akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje, wa DRC, Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watalii wengi zaidi kutoka Urusi Kutembelea Tanzania

Tanzania inatarajiwa kupokea watalii wengi zaidi siku za hivi karibuni kutoka nchini Urusi, kutokana na nchi hiyo kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya na Marekani. Hayo yamebainishwa katika mazungumzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIASPORA KUTOKA CANADA, TANROADS WAJADILI TEKNOLOJIA UJENZI WA BARABARA

Na Mwandishi wetu, DarDiapora kutoka nchini Canada, ambaye pia ni mwekezaji aliyeonesha nia ya kuwekeza katika miundombinu ya barabara nchini Bw. Joseph Katallah amekutana na uongozi wa Wakala wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA SADC KUFANYIKA PRITORIA, AFRIKA...

Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika) ambao utahusisha pia Jamhuri ya Msumbiji na Nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA AWASILI DODOMA KWA ZIARA...

 Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka baada ya kuwasili jijini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI WANACHAMA WA SADC ZAPONGEZWA KWA KUJITOLEA KULINDA AMANI YA KANDA

Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ambaye pia ni Waziri Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Mhe. Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Zungu akutana na Rais Mwenza wa Bunge la Pamoja la EU na OACPS

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Bunge la Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuimarisha ushirikiano miongoni mwao na miongoni mwa wabunge wao. Hayo yameafikiwa tarehe 02 Aprili 2022 kwenye makao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI FORD ARIDHISHWA NA UTOAJI HUDUMA ‘ENGENDERHEALTH’

Na Mwandishi wetu, DarWaziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford ameonesha kuridhishwa na utoaji wa huduma katika kituo cha afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA JIJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (katikati) akimkaribisha Waziri wa Uingereza anayeshughulikia Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live