Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchaguzi Afrika Kusini ulikuwa huru na wa haki:SADC

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.)-kushoto  akiwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Lesotho na Namibia pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa John M. Haule akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Juu ya Kifo cha aliyekuwa Balozi wa Mwalawi nchini Tanzania Hayati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Membe amwakilisha Mhe. Rais Kikwete kushuhudia uwekaji saini mkataba wa...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) wa tatu kutoka kushoto waliosimama) kwa pamoja na viongozi wengine   akiwemo Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe ashiriki kuuaga mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisaini kwa masikitiko makubwa Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Balozi wa Malawi hapa nchini, Hayati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe awasili Malawi kumwakilisha Mhe. Rais Kikwete kwenye mazishi ya...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Blantyre nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Balozi wa Malawi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Membe amuaga Marehemu Balozi Flossie nyumbani kwake Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisoma kwa majonzi Salamu za Pole za Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Rais wa...

View Article

Press Release

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania addressed to H.E. Abdullah Gül, President of the Republic of Turkey following the tragic mining disaster,which occurred in Soma,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe afungua Mkutano wa Baraza la Wafanayakazi wa Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)-katikati) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (wa tatu kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VACANCY ANNOUNCEMENT

SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITYVACANCY ANNOUNCEMENTBackgroundThe Southern African Development Community (SADC) currently has fifteen Member States with a population of approximately 250 million...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VACANCY ANNOUNCEMENT - ICGLR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania nchini Urusi aapishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Lt. Gen. Wynjones Mattew Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam...

View Article

Press Release

PRESS RELEASEH.E President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.M. King Harald V of Norway on the occasion to celebrate 200 years Anniversary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam awasili nchini kwa ziara ya kikazi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phuong Nga mara baada ya kumpokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfanyakazi Hodari wa Wizara na Wafanyakazi Bora wapokea vyeti vyao

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Dushhood Mndeme akijiandaa kutaja majina ya Wafanyakazi Bora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwemo Mfanyakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Marekani nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress IKULU, Dar es Salaam tarehe 22 Mei, 2014.Mhe....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadmisho ya Siku ya Afrika kufanyika Jumapili

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Vicent Kibwana akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari kuelezea maadhimisho ya Siku ya Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Afrika Zafana jijini Dar es Salaam

Brass band ikiongoza maandamano ya wanadipolomasia wa nchi za Afrika, watumishi wa Serikali ya Tanzania, wanafunzi na wageni wengine waalikwa kwenda Viwanja vya Karimjee kuadhimisha Siku ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe aliwasilisha Bajeti ya Wizara Bungeni Dodoma

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwasilisha Bungeni  Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Konga mano la Nyumba kufanyika Dubai

Balozi Mdogo wa Tanzania nchini Dubai Bw. Omari Mjenga akifanya mazungumza na Nehemiah Mchechu (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) alipo mtembelea Ofisini kwake Jijini Dubai,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho ya siku ya walinda Amani ya Umoja wa Mataifa yafanyika Dar

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi akihotubia katika maadhimisho ya siku ya walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Mabalozi wakimsikiliza Waziri Mwinyi...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live