Tanzania yaahidi kuimarisha Diplomasia ya Uchumi na Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Uganda hapa nchini,...
View ArticleRais Museveni amaliza ziara yake nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.Rais...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yahamia Dodoma Rasmi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Ofisini kwake Mjini Dodoma. Waziri Mahiga leo ameutangazi...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa DPRK nchini
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) nchini, Mhe. Kim Yong Su,...
View ArticleNaibu Waziri Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Singapore nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akizungumza na Balozi wa Singapore nchini, Mhe. Tan Puay Hiang, alipomtembelea Wizarani Jijini Dar es...
View ArticleKamati ya Kusimamia Soko la Pamoja la EAC yakutana jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Ajira kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Bw. Amir Amir aliyeshika kipaza sauti ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kikao cha Kamati ya kusimamia utekelezaji wa Itifaki ya Soko la Pamoja...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Arkadia Ltd
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ARKADIA Ltd. Â Dr. Ezio Copat walipokutana kwa mazungumzo...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu na Watu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo alipokutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Sylvain Ore yenye...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Palestina...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.Susan Kolimba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe.Hazem Shabat.Mazungumzo yao yalijikita katika...
View ArticleWaziri Mahiga azungumza rasmi na Mabalozi kuhusu kuhamia Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiongea na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa yanayowakilisha hapa nchini (hawapo pichani) kwenye kikao...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Tanzania nchini Oman, Korea,...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akizungumza  na Mabalozi wanao kwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali (hawapo pichani), mazungumzo...
View ArticleKatibu Mkuu Umoja wa Mataifa aipongeza Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Antonio Guterres (kushoto) kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleWaziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akizungumza na Mjumbe Maalum, Balozi Harro Adt aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Kansela wa Ujerumani, Mhe....
View ArticleTaarifa kuhusu Ziara ya Rais wa Benki ya Dunia nchini Tanzania
Taarifa kuhusu Ziara ya Rais wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Rais wa Benki ya Dunia, Dkt. Jim Yong Kim, atafanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 19 hadi 21 Machi 2017. Akiwa nchini, Dkt. Kim...
View ArticleTimu ya Everton ya Uingereza kutua nchini hivi karibuni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Bw. Luca Neghesti kutoka SportPesa Tanzania leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Bw. Neghesti...
View ArticleBalozi Mero awasilisha Hati za Utambulisho
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero akitoa maelezo mafupi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres kabla ya kuwasilisha rasmi Hati za...
View ArticleWaziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) leo tarehe 22 Machi, 2017 amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule 7...
View ArticleKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na Balozi Mteule wa Oman nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz P. Mlima (kulia) akizungumza na Balozi Mteule wa Oman nchini, Mhe. Ali Abdullah Mahruqi alipomtembelea...
View ArticleWaziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Mauritius nchini, Mhe. Jean Pierre Jhumun...
View Article