Rais Guebuza wa Msumbiji amkabidhi Rais Banda wa Malawi Uenyekiti wa SADC
Mwenyekiti wa SADC anayemaliza muda wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji akimkabidhi uenyekiti wa jumuiya hiyo Rais Dr.Joyce Banda wa Malawi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 33 wa SADC...
View ArticlePresident Kikwete holds bilateral talks with Malawi President and DR-Congo...
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania getting set to begin bilateral talks with his counterpart, H.E. Joseph Kabila, President of the Democratic Republic of Congo....
View ArticlePresident Kikwete, Hon. Membe finished the 33rd SADC Summit in Lilongwe, Malawi
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation is in a photo together with his team of Ambassadors who joined him for the Southern Africa Development Community...
View ArticlePresident Kikwete's handover Speech of Troika-SADC's organ of Politics,...
H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania and the outgoing Chairman of the Troika-SADC (organ of Politics, Defence and Security) in a photo with H.E. Jacob Zuma of South...
View ArticleThe 33rd SADC Summit Communique
The outgoing SADC Executive Secretary Dr. Tomaz Augusto Salomão delivering 33rd SADC Summit Communique.  The 33rd Heads of State and Government of the Southern Africa Development Community (SADC) was...
View ArticleKikao cha Uongozi wa Wizara na Kamati ya Bunge chafanyika
Mhe. Edward Lowassa (Mb.), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Monduli akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
View ArticleKatibu Mtendaji mpya wa SADC apokelewa kwa shangwe Wizara ya Mambo ya Nje
 Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimlaki kwa furaha Katibu Mtendaji mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Dkt....
View ArticleUteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya
Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akijiandaa kuongea na Waandishi wa Habari waliokusanyika jioni hii kupata taarifa kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, katika...
View ArticleMhe. Membe apokea Magari ya msaada ya kubebea wagonjwa kutoka Korea Kusini
Magari ya wagonjwa yalitolewa na Korea Kusini kwa ajili ya majimbo ya vituo vya afya vinne vya majimbo ya Ruangwa na Nchinga Mkoani Lindi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe....
View ArticleMhe. Membe apokea msaada wa Magari ya kubebea wagonjwa kutoka Korea Kusini
Na Zainabu AbdalahWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mheshimiwa Bernard Membe. Jana amekabidhiwa msaada wa magari manne ya kubebea...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje amuaga Balozi wa Kenya
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Mutinda Mutiso akitembea sambamba na Bibi Zuhura Bundala. Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje wakati alipokuwa anaingia kwenye Hoteli...
View ArticleHon. Maalim bids farewell to the Italian Ambassador
Ambassador Dora Msechu, Director of the Department of Europe and Americas in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation welcomes guests during the luncheon to bid farewell to the...
View ArticleBaraza la Katiba la Wizara kukutana leo
Baraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje linatarajiwa kukutana leo kuanzia saa 4 asubuhi hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, mjini Dar es Salaam. Â Wajumbe wapatao 100...
View ArticleMembe alonga na Warioba kuhusu Uraia wa Nchi Mbili
Mhe. Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiingia rasmi katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo mjini Dar es Salaam. Â Kulia ni Mhe. Balozi Rajabu...
View ArticleBaraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Mgeni Rasmi ambaye pia ni Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim kabla ya...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA
Mhe. Waziri Membe akielezea kuhusu suala la uraia wa nchi mbili. TAARIFA KWA UMMAWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kuujulisha Umma kuwa jana tarehe 26 Agosti, 2013, Mheshimiwa...
View ArticleMkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa akutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti...
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkaribisha Wizarani Bibi Maria Gracia Pulido-Tan, Mwenyekiti wa Tume ya Ukaguzi ya Jamhuri ya Ufilipino alipofika kwa ajili...
View ArticleEU Members of Parliament visit Tanzania
Ambassador Rajabu Gamaha, Acting Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation welcomes Hon. Hannes Swoboda, Member of the European Parliament (MEP) and...
View Article