Mhe. Balozi Al Najib akimkabidhi Mhe. Dkt. Kolimba salamu za pongezi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait |
Mhe. Balozi Al Najib akimweleza jambo Mhe. Dkt. Kolimba baada ya kukabidhi salamu za pongezi za Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait |
Mazungumzo yakiendelea |
Picha ya pamoja |
Mhe. Dkt. Kolimba akiagana na Balozi Al Najib |