Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing  alipofika Wizarani kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya...

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na  Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga akizungumza kwa mara ya kwanza kwenye mkutano uliomkutanisha na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHE. DKT.AUGUSTINE MAHIGA NCHINI BURUNDI NA UGANDA Waziri wa Mambo ya Nje na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga awasilisha ujumbe maalum wa Mhe. Rais Magufuli kwa Rais Nkurunziza

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Rajabu Gamaha mara baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi Mdogo wa...

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Simba Yahaya akizungumza na Balozi Mdogo wa China, Mhe. Zhang Biao. Mazungumzo yao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na  Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Mhe. Abdullah Jassim Almaadadi alipofika Wizarani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib alipofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais Magufuli apokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Palestina nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Palestina hapa nchini, Mhe. Hazem Shabat. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais Magufuli apokea Hati za Utambulisho za Balozi wa EU nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini, Mhe. Roeland Van De Geer. Hafla hiyo fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais Magufuli apokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Jamhuri ya Korea...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini, Mhe. Song Geum-young. Hafla hiyo fupi ilifanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa India nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba (Mb.) akizungumza na Balozi wa India nchini, Mhe. Sandeep Arya (kushoto), katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMashauriano kuhusu mgogoro wa Burundi baina ya Tanzania, Angola, Uganda na Jumuiya ya Afrika MasharikiWaziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzanian Mbwana Samatta wins African Player of the Year based in Africa

Mr. Mbwana Aly Samatta-2nd from left receiving an Award as the African Player of the Year based in Africa during an event that took place in Abuja, Nigeria on 7th January,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula akabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa Mambo ya Nje

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Ponary Mlima (kulia) akipokea nyenzo mbalimbali za kufanyia kazi kutoka kwa aliyekuwa Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri awataka Vijana kuiwakilisha vizuri Tanzania wanapopata fursa za...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akikabidhi Bendera ya Taifa kwa Vijana 12 wa Kitanzania  kutoka Mpango utakaohusisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga awataka Watumishi wa Wizara kufanya kazi kwa kuzingatia maadili

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akizungumza kwa mara ya kwanza na Watumishi wote wa Wizara kwa ajili ya kuwatakia heri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania nchini Kenya azindua safari za ndege za Fastjet kutoka Dar...

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule akikata utepe kuzindua safari za ndege za Shirika la  Fastjet kati ya Dar es Salaam na Nairobi. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Balozi Ami...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Syria

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Balozi wa Syria hapa nchini Mhe.Abdulmonem Annan, baada ya Balozi huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga ashiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 52 ya Mapinduzi ya...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi walioshiriki katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>