Mama Salama Kikwete naye akisaini Kitabu cha Maombolezo |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje,Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Aziz Mlima naye akisaini kitabu cha maombolezo. |
Dkt. Kikwete akiagana na Naibu Balozi, Mhe. Muhia |
Picha na Reginald Philip