Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati akutana na Balozi wa Palestina
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Abdalah Kilima akimkaribisha Balozi wa Palestina nchini, Mhe. Hazem...
View ArticleBalozi wa kwanza wa Tanzania nchini Kuwait awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Dkt. Mahadhi Juma Maalim (kushoto), akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Shekh Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah (kushoto), Amir wa Serikali ya Kuwait katika...
View ArticleMhe. Kikwete asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Kenya
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliyeambatana na Mkewe, Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yafanya Mkutano na Vyombo vya Habari
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Bi. Mindi Kasiga, akiongea na waandishi wa habari kwenye Mkutano...
View ArticleRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUWA BALOZI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza katika Ikulu ndogo ya Chamwino...
View ArticleMkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Mjumbe Maalum kutoka Thailand
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimaaifa, Balozi Celestine Mushy (kushoto) akimkaribisha Mjumbe Maalum kutoka nchini Thailand, Mhe. Kobsak Chutikul alipokuja Wizarani kuwasilisha ujumbe maalum...
View ArticleKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Balozi wa China nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Balozi Lu Youqing alipofika Wizarani kwa...
View ArticleTANZANIA YAFUNGUA OFISI YA KONSELI YA HESHIMA JIJINI TORONTO, CANADA
Mhe. Jack Mugendi Zoka, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Canada akimkaribisha Konseli wa Heshima Mteule, Bw. Deepak Ruparell kwenye chumba cha wageni cha Ubalozi mara baada ya...
View ArticleChief Secretary opens a meeting on Rehabilitation of TAZARA
Chief Secretary, Eng. John Kijazi gives his remarks during the official opening of the technical working group of the trilateral ministerial meeting on TAZARA, held at the Julius Nyerere International...
View ArticleMakatibu Wakuu wa Wizara za Mambo ya Nje za Tanzania na Zambia wakutana kwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Aziz Mlima akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Zambia, Bw. Chalwe Lombe ofisini kwake jijini Dar...
View ArticleMabalozi kutoka nchi za Ghuba watembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kiongozi wa...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini Comoro washiriki uangalizi wa uchaguzi Kisiwani...
Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, Bw. Mudrick Soragha akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Mji wa Mrigou, Bw. Abdul Latif wakati Bw. Soragha alipoongoza ujumbe wa Ubalozi...
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini Kenya akutana na Balozi Austria nchini Tanzania
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule amefanya mazungumzo na Balozi wa Austria nchini Tanzania mwenye makazi yake Kenya, Mhe. Dkt. Harald Gunther kuhusu umarishaji wa ushirikiano baina ya...
View ArticlePress Release
PRESS RELEASEVACANCY ANNOUNCEMENT FROM THE COMMONWEALTH SECRETARIATThe Ministry of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation has received vacancy notification from the...
View ArticleAlama za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumika katika Taasisi za Serikali
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga, akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika katika...
View ArticleUN YAWAENZI WALINZI WAKE WA AMANI WALIOPOTEZA MAISHA
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi akiwa ameshika medali ya Dag Hammarskjold waliyotunukiwa mashujaa watatu watanzania ambao wamepoteza maisha mwaka jana...
View ArticleDkt. Mahadhi Juma Maalim amtembelea Balozi wa Malawi Nchini Kuwait
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ubalozi wa Malawi na kupokelewa na mwenyeji wake, Mhe. Balozi Wilfred Ali (hayupo pichani)....
View ArticleMtanzania achaguliwa Katibu Mkuu Jumuiya ya Sheria ya Afrika na Asia
Profesa Kennedy Gastorn, Katibu Mkuu mpya AALCOTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mtanzania achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Mashauriano ya masuala ya Kisheria katika Nchi za Asia na Afrika...
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini Kuwait akutana na Balozi wa Chad nchini humo
Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait akizungumza na Mhe. Ali Ahmed Aghabache, Balozi wa Chad nchini Kuwait alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni. Katika mazungumzo yao...
View Article