Balozi Youqing naye akizungumza na kumweleza Balozi Mlima kuwa nchini yao itaendelea kuboresha mahusiano ya kihistoria yaliyopo kati ya Tanzania na China. |
Mazungumzo yakiendelea |
Katibu Mkuu Balozi Aziz Mlima akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Lu Youqing Picha na Reginald Philip |