Mhe. Balozi Mehdi Agha Jafari akizungumza ambapo alieleza kuwa Serikali ya Iran itazidi kushirikiana na Tanzania katika sekta za Elimu, Biashara, Afya na Kilimo. |
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Abdallah Kilima (kushoto) pamoja na Msaidizi wa Waziri, Bw. Adolf Mchemwa wakifuatilia kwa makini mazungumzo. |
Mhe. Balozi Mehdi Agha Jafari akimkabidhi ujumbe maalum Mhe. Waziri Mahiga |
Mazungumzo yakiendelea |