Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Balozi wa China nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz Mlima akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya kuzungumzia...
View ArticleUbalozi wa Kuwait nchini wakabidhi vitendea kazi kwa Chuo cha Diplomasia
Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitendea kazi zikiwemoKompyuta kwa Kaimu Mkuu wa Chuo cha Diplomasia (CFR), Dkt. Bernard Achiula. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi wa Iran nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Iran nchini Mhe. Mehdi Agha Jafari alipomtembelea leo katika Ofisi za Wizara Jijini...
View ArticleMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa...
Msemaji na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China nchini, Bw. Zhang Biao...
View ArticleTanzania yapewa tuzo za ustawi wa jamii na ushirikishaji wa wanawake katika...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz (kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Balozi Samwel Shelukindo mara baada ya...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje awa mgeni rasmi siku ya Taifa la Misri
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akitoa hotuba kama mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Taifa la Misri yaliyofanyika Jijini Dar es...
View ArticleTanzania na Korea Kusini kuimarisha ushirikiano
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbelwa Kairuki (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa masuala ya Afrika na...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje yamkabidhi Waziri Mkuu michango ya Madawati
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akikabidhi hundi ya michango ya madawati kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim...
View ArticleWaziri Mahiga aagana na Mabalozi waliomaliza muda wa kazi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Dianna Melrose alipokuja Wizarani kumuaga mara baada ya...
View ArticleWaziri Mahiga ashiriki hafla ya kuwaaga Mabalozi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb), akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga Mabalozi wa nchi za Ireland, Canada na Uingereza wanaomaliza muda wao wa...
View ArticleWaziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Italia hapa nchini, Mhe. Roberto Mengon. Hafla hiyo...
View ArticleMtanzania atunukiwa Tuzo ya Juu ya Malkia wa Thailand
Profesa Pauline Peter Mella aliyetunukiwa Tuzo ya Juuya Malkia wa Thailand Srinagarindra kwa kutambua mchango wake kwenye sekta ya afya, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpongeza iliyoandaliwa na...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi wa Saharawi nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Balozi wa Saharawi nchini Mhe. Brahim Salem Buseif alipomtembea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi wa DRC nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Jean Pierre Tshampanga Mutamba, alipomtembelea...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) akizungumza na Kaimu Balozi wa Oman nchini, Bw. Mohammed Sulaiman Alrawahi. Mazungumzo yao ambayo...
View ArticleWaziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Japan nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kushoto) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipomtembelea katika ofisi za Wizara Jijini...
View ArticleWaziri Mahiga ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akimpokea rasmi Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mhe. Jean-Marc Ayrault (kushoto) alipotembelea Wizarani katika...
View ArticleKaimu Katibu Mkuu azungumza na Wataalam Elekezi kuhusu ushirikiano na...
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akizungumza na Mtaalam Mwelekezi kuhusu masuala ya Ushirikiano wa Kimaendeleo kati ya...
View ArticleMkurugenzi wa Mashariki ya Kati akutana na Balozi wa Kuwait nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima (kulia), akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem...
View ArticleMkurugenzi wa Idara ya Asia akutana na Balozi wa China nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Astralasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbelwa Kairuki (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Dkt. Lu Younqing...
View Article