Sehemu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini wakimsikiliza Mhe. Dkt. Kolimba (hayupo kwenye picha) kwenye maadhimisho ya siku ya Taifa la Misri![]() | Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Suzan Kolimba akitakiana afya njema na Balozi wa Misri nchini, Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf wakati wa maadhimisho ya Taifa la Misri yaliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
![]() | Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Simba Yahya (wa tatu kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo (wa pili kushoto), Msaidizi wa Naibu Waziri, Bw. Adam Isara (kushoto) na Maafisa wa Ubalozi wa Misri (k![]() | Sehemu ya Wageni waalikwa |
|
|
|
| | | |
|
|