Waziri Mahiga akimweleza jambo Balozi Mteule, Mhe. Wetprasit mara baada ya kupokea nakala zake za utambulisho....Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi wa Somalia |
Dkt. Mahiga akizungumza na Balozi Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kupokea nakala zake |
Waziri Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Hassan Abdi |