Mhe. Kolimba akimweleza jambo Mhe. Zhang wakati wa mazungumzo yao. |
Mhe. Zhang na ujumbe wake wakati wa mkutano na Mhe. Dkt. Kolimba (hayupo pichani) |
Mhe. Naibu Waziri na Mhe. Waziri Mohammed pamoja na wajumbe wengine wakimsikiliza Mhe. Zhang ambaye hayupo pichani. Kulia ni Bi. Bertha Makilagi, Afisa Mambo ya Nje. |