Waziri Mahiga akutana na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Japan
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Japan, Mhe. Balozi Junzo Fijita aliyetembelea katika ofisi...
View ArticleRais Magufuli apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock Ikulu Jijini Dar es SaalamBalozi wa...
View ArticleKONGAMANO LA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUANZA LEO ZANZIBAR
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa...
View ArticleRais Shein afungua Kongamano la 3 la Watanzania waishio Ughaibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la tatu (3) la Diaspora lililofanyika katika Hotel ya Zanzibar Beaach Resort...
View ArticleRais Magufuli apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi wa...
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Ian Myles akisaini Kitabu cha Wageni Ikulu Jijini Dar es Saalam kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt....
View ArticleWanadiaspora watembelea miradi ya maendeleo Zanzibar
Wanadiaspora wakipata maelezo kutoka kwa mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa na ZSSF kwaajili ya makazi katika eneo la Mbweni Zanzibar Sehemu ya Wanadiaspora (watanzania waishio...
View ArticleMkutano wa TICAD kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, Balozi Monica Juma (mwenye nguo ya kijani) akifuatiwa na Bw. Takeshi Osuga, Balozi wa TICAD kutoka Japan na Mhe. Cherif Mhamat Zene, Balozi wa Chad,...
View ArticleMkutano wa Mawaziri wa TICAD wafanyika Jijini Nairobi
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kikao cha Mawaziri wa Mkutano wa Sita wa Kimataifa kuhusu Ushirikiano wa...
View ArticleNaibu Waziri akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Zhang Ming walipokutana Nairobi kwa mazungumzo ya...
View ArticleNaibu Waziri akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Zhang Ming walipokutana Nairobi kwa mazungumzo ya...
View ArticleBanda la Maonesho la Tanzania lang'ara kwenye mkutano wa TICAD VI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Bw. Edwin Rutageruka mara baada ya kuwasili kwenye Banda la...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Naibu Waziri wa Marekani masuala ya...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Linda...
View ArticleWaziri Mkuu akutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Jijini Nairobi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan, Mhe. Luteni Jenerali Barki Hassan Salih walipokutana Jijini na Nairobi...
View ArticleTanzania kushirikiana na Japan katika mafunzo kwa Wahandisi wa Gesi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa kwenye Kongamano la Biashara kati ya Afrika na Japan lililofanyika Nairobi, Kenya wakati wa Mkutano wa TICAD VI....
View ArticleWaziri Mkuu atembelea Banda la Tanzania na nchi zingine maonesho ya TICAD VI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade, Bw. Edwin Rutageruka kuhusu Michoro maarufu ya Tanzania...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje ahudhuria mkutano wa Mawaziri wa ushirikiano wa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (wa pili kutoka kushoto), akifanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Singapore, Mhe. Dkt. Koh...
View ArticleRais Shein afungua Kongamano la 3 la Watanzania waishio Ughaibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la tatu (3) la Diaspora lililofanyika katika Hotel ya Zanzibar Beaach Resort...
View ArticleMkurugenzi wa Idara ya Asia akutana na Mwakilishi masuala ya Uchumi Ubalozi...
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akizungumza na mwakilishi wa masuala ya Uchumi na Biashara wa...
View ArticleWaziri Mahiga aongoza Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi ya SADC
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE, USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKISimu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti :www.foreign.go.tzNukushi:...
View ArticleMkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati akutana kwa mazungumzo na Kaimu...
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akisalimiana na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini, Bw. Bandau...
View Article