![]() |
Rais Mhe. Erdogan na Mke wake wakipungia mikono wananchi waliojitokeza kumuaga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam |
![]() |
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa na Waziri Mhe. Augustine Mahiga wakati wa kumuaga Rais Erdoga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam |