PUBLIC ANNOUNCEMENT
PUBLIC ANNOUNCEMENTVisa exemption for Tanzanian diplomatic and official/service passport holders The United Republic of Tanzania and the Republic of India have started to implement the agreement signed...
View ArticleWaziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara nchini
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri wa...
View ArticleWaziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Syria nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga(Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Syria nchini Tanzania Mhe. Abdulmonem Annan (kushoto) mwenye makazi...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje wa China awasili nchini kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akimpokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi (wa kwanza kulia) mara baada ya kuwasili...
View ArticleWaziri Mahiga amuaga Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akijadili jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Wang Yi katika Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleBalozi wa Cuba nchini Tanzania aagwa baada ya kumaliza muda wake
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisoma hotuba wakati wa hafla fupi ya kumuaga Balozi wa Cuba Nchini Tanzani Mhe. Jorge Luis Lopes Tormo...
View ArticleWaziri Mahiga aipongeza Cuba kwa kuchangia maendeleo nchini
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipeana mkono na Balozi wa Cuba nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Jorge Luis Lopes Tormo wakati wa hafla ya kumuaga...
View ArticleNaibu Waziri asaini kitabu cha maombolezo
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisaini kitabu cha maombolezo kwenye makazi ya Balozi wa Msumbiji nchini Mhe. Monica Patricio yaliyopo Jijini...
View ArticleBanda la Wizara ya Mambo ya Nje lilivyong'ara kwenye Tamasha la Tatu la...
Bw. Othman Maalim Othman (kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara hiyo kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na...
View ArticleWaziri Mahiga akutana na Balozi Korhonen wa Finland nchini
Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Klaus Korhonen wa Finland walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam....
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UTURUKI NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Uturuki nchiniRais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini tarehe...
View ArticleMhe. Rais Magufuli awaapisha mabalozi sita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Ikulu jijini Dar esa salaam leo January 20,...
View ArticleWaziri Mahiga afanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermann walipokutana kwa mazungumzo...
View ArticleRais wa Jamhuri ya Uturuki awasili nchini
Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mhe. Recep Tayyip Erdogan akiwa ameambana na mkewe Mama Emine Erdogan, wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIZiara ya Rais wa Uturuki nchini TanzaniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mhe. Recep Tayip...
View ArticleRais Magufuli ampokea Rais wa Uturuki Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe. Recep Tyyip Erdogan wakiwasalimia wananchi walijiotokeza kwenye hafla ya kumkaribisha...
View ArticleRais Erdogan aondoka nchini baada kumaliza ziara yake
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsindikiza Rais wa Jumhuri ya Uturuki Mhe. Recep Tyyip Erdogan wakati akielekea kupanda ndege, kuondoka nchini mara baada ya...
View ArticleTanzania na Malawi kufanya Mkutano wa Nne wa Tume ya Pamoja
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye kikao...
View ArticleWatanzania 14 washiriki maonesho ya Sanaa nchini Kenya
Maonesho ya sanaa za uchoraji ya Wasanii 14 kutoka Tanzania yameanza rasmi tarehe 25 Januari 2017 kwenye ukumbi wa maonesho wa Village Market Nairobi.Watu waliotembelea maonesho hayo siku ya kwanza ni...
View Article