$ 0 0 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mero akimkaribisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Professa Mussa Assad kwenye ofisi za uwakilishi Jijini New York Marekani hivi karibuni. http://www.mwananchi.co.tz/habari/CAG-awasilisha-ukaguzi-mashirika-ya-Umoja-wa-Mataifa/1597578-4034028-j2vri7/index.html