Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu Balozi wa Saudi Arabia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini, Bw. Bandar Abdullah Alhazani ofisini kwake jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIFO CHA BI. LOVENESS HERMAN, MTANZANIA MWENYE URAIA WA UBELGIJI

  Mwenye picha katika kitambulisho hapo juu ni Bi. Loveness Herman (69), Mbelgiji mwenye asili ya Tanzania ambaye alifariki huko Liege, Ubelgiji tokea tarehe 18 Mei 2017. Marehemu Loveness Herman kabla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mero amkaribisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Professa Mussa Assad New YMork

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mero akimkaribisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Professa Mussa Assad kwenye ofisi za uwakilishi Jijini New York...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kuimarisha mipaka yake na nchi jirani

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (Mb.), katikati, anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya kutembelea na kujifunza juu ya mipaka iliyopo kati ya Tanzania na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU CHA UJIRANI MWEMA BAINA YA TANZANIA NA UGANDA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima akizungumza wakati akifungua mkutano wa ujirani mwema kati ya Tanzania na Uganda, ngazi ya Makatibu Wakuu....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mteule wa Uganda

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Tumusiime...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Mchungaji Ongere

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akisalimiana na Mchungaji John Oscar Ongere ambaye alifika ofisini kwa Mhe. Waziri kujadili maandalizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Dkt. Viktor Korcek, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kifaru ambaye pia ana nia ya kuwa Mwakilishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bomba la Mafuta

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bomba la MafutaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameitaja tarehe ya kuweka jiwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa vyombo vya Habari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa Habari, kuhusu ziara ya kikazi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kuhusu ziara ya Kitaifa ya Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Kitaifa ya Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini Kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na Mjumbe Maalum kutoka Serikali ya Japan

Waziri wa Mambo wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Mjumbe Maalum wa Serikali ya Japan, Mhe. Ichiro Aisawa alipofika Wizarani hivi karibuni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki awasilisha Hati za Utambulisho

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIBalozi wa Tanzania nchini Uturuki awasilisha Hati za UtambulishoMhe. Prof. Elizabeth K. KIONDO, Balozi wa Kwanza Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Nchi anayeshugulikia Masuala ya Afrika wa Uingereza kuzuru Tanzania

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri wa Nchi anayeshugulikia Masuala ya Afrika wa Uingereza kuzuru Tanzania tarehe 22 na 23 Agosti 2017Waziri wa Nchi anayeshughulikia Masuala ya Afrika kutoka Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warsha kuunganisha Mipango ya APRM na Mipango ya Serikali kufanyika Zanzibar

                                                                                           TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWarsha kuunganisha Mipango ya APRM na Mipango ya Serikali kufanyika Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Joint Communique issued by His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga ampokea Waziri wa Nchi wa Uingereza ambaye yupo ziarani nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diaspora ni rasilimali muhimu katika kuimarisha uchumi wa Afrika, Makamba

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu, akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi wa umma Zanzibar wapigwa msasa kutekeleza Mipango ya Serikali

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWatumishi wa umma Zanzibar wapigwa msasa kutekeleza Mipango ya SerikaliTaasisi za Umma zimeshauriwa kujikita zaidi katika utekelezaji wa mipango iliyojiwekea badala ya...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>