Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja naBalozi Mteule wa Mali nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Fafre Camara. Wengine katika picha ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika, Bw. Suleiman Salehe (kulia) na Afisa wa Ubalozi wa Mali. |
|