Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mteule wa Australia awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke kabla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri wa Tanzania na Rwanda kujadili Ujenzi wa Reli

Mawaziri wa Tanzania na Rwanda wanaoshughulikia masuala ya miundombinu wameagizwa kukutana mara moja kujadili ujenzi wa Reli ya kiwango cha Kimataifa kutoka Isaka hadi Rwanda. Kauli hiyo imetolewa leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Taifa la Israel mwenye makazi yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yashiriki maonesho ya utalii ya kimataifa nchini Uholanzi

Tanzania imeshiriki vema katika Maonesho ya Utalii ya Kimataifa yanayofanyika kila mwaka mjini Utrecht, Uholanzi, maarufu kama Vakantiebeurs. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi na Mheshimiwa Halbe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yawa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa India - Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano wa pili wa India - Afrika uliofanyika katika ofisi za ubalozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli azungumza na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wa nne kutoka kushoto akiongea na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara yawanoa Wabunge wa Tanzania wa Bunge la Nne la Afrika Mashariki

   Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akifungua Semina Elekezi kwa Wabunge wa Tanzania wa Bunge la Nne la Afrika Mashariki iliyofanyika kwenye Kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabalozi watano wawasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Balozi Mteule wa UgirikiBalozi Mteule wa Ugiriki nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Konstantinos Moatsos (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA COMORO

Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe, Sylvester Mabumba (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Comoro, Bw. Said...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Zimbawe atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania anayemakiza muda wake, Mhe. Idzai Chimonyo ambaye alifika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Israel kusaidia sekta ya afya nchini Tanzania

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Dkt. Otilia Flavian Gowelle akiwa katika mazungumzo na Naibu Balozi wa Israel nchini, Mhe. Michael Baruch Baror...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu Maalum ya ADB yatembelea Tanzania

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Aldof Mkenda (kulia) akiwa katika mazungumzo na Bw. Alieu Jeng- Mjumbe wa Timu kutoka Bank ya Maendeleo ya Afrika (African...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Kilimo wa China atembelea Tanzania

Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt.Charles Tizeba ( Katikati mwenye kipaza sauti), akiongoza mazungumzo wakati wa Mkutano na Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Mhe. DK QU DONGYU(hayupo pichani) uliofanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Hamad Rashid akutana na Naibu Waziri wa Kilimo wa China

Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Mhe. Dkt. QU DONGYU walipokutana katika Wizara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Naibu Waziri amuaga Balozi wa Zimbabwe.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Suzan Kolimba akimkabidhi zawadi Balozi wa Zimbabwe nchini anayemaliza muda wake Mhe. Balozi Edzai Chimonyo katika hafla fupi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri akutana na Balozi wa Singapore nchini

 Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Mhe. Balozi Tan Puay Hiang, alipomtembelea Wizarani Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na Singapore

Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akizungumza na Balozi wa Singapore nchini mwenye makazi yake nchini Singapore, Mhe. Tan Puay Hiang...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA AANZA ZIARA YA SIKU 3 NCHINI KOREA KUSINI

Mheshimiwa Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akipokelewa na maua na Mheshimiwa Matilda Masuka, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Korea Kusini

Mheshimiwa Augustine Phillip Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akilakiwa na mwenyeji wake Mheshimiwa Kang Kyung-hwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea, mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ban Ki-moon ashiriki kwenye ufunguzi wa Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya...

Picha ya pamoja baada ya Mawaziri wa Tanzania na Korea Kusini kukata utepe na kuzindua rasmi majengo ya Ubalozi wa Tanzania tarehe 31 Januari, 2018. Kutoka kushoto ni Bw. Park Young min, Mkurugenzi...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>