Sehemu ya wafanyabiashara waliothibitisha ushiriki katika maonesho ya bidhaa za Tanzania nchini Kenya wakifuatilia taarifa mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na viongozi wa kamati. |
Sehemu nyingine ya wajumbe wa kamati, wadhamini na wafanyabiashara watakaoshiriki katika maonesho hayo wakifuatilia kikao. |
Wajumbe wakifuatilia kikao. |
Picha ya pamoja meza kuu na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya wiki ya Tanzania nchini Kenya. |
Picha ya pamoja meza kuu, wadhamini na wafanyabiashara watakaoshiriki katika wiki ya Tanzania nchini Kenya. |