TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MAFUNZO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIFURSA ZA UFADHILI WA MASOMOWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za mafunzo ya muda mrefu kutoka Kamisheni ya Umoja wa Afrika...
View ArticleWizara ya Mambo ya Nje kutumia fursa za maadhimisho ya kitaifa katika...
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza katika ufunguzi wa kikao cha pamoja kati ya wafanyabiashara na kamati ya maandalizi ya...
View ArticleBalozi Shelukindo ahimiza wafanyabiashara kuchangamkia fursa za biashara...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Samuel Shelukindo akizungumza katika Mkutano na wafanyabiashara nchini, uliofanyika tarehe 20 Aprili,2018, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano (JNICC),...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI WA SHERIA WA ISRAEL NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Waziri wa Sheria wa Israel nchiniWaziri wa Sheria wa Israel, Mhe. Ayelet Shaked atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini kuanzia tarehe 22 hadi...
View ArticleKatibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Balozi wa China nchini wazungumzia maandalizi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke kuhusu Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Ushirikiano...
View ArticleNaibu Waziri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Bunge la Afrika
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba akisalimiana na Rais wa Bunge la Afrika Mhe.Roger Nkodo Dang Wizarani Mjini Dodoma. Mhe. Dang amekuja nchini kwa...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA BENKI YA AfDB NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika nchiniRais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Ayodeji Adesina atafanya ziara ya siku nne...
View ArticleMwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania, India apandishwa cheo
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka H. Luvanda akimvalisha cheo cha Brigedia Jenerali A.S Mwami ambaye ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India.Brigedia Jenerali A.S Mwami ni...
View ArticleUfunguzi rasmi wa maonesho ya kipekee ya bidhaa za viwanda vya Tanzania...
Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwangi Kiunjuri akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa wiki ya Tanzania nchini Kenya ambayo imeambatana na maonesho ya huduma, vivutio vya...
View ArticleUbalozi wa Tanzania, Uingereza waadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanzania...
Juu na Chini ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Dkt. Asha Rose-Migiro (katikati) akiwa na Watumishi wa Ubalozi pamoja na Watanzania waishio nchini Uingereza mara baada ya kumaliza Ibada...
View ArticleTanzania yajikita kutumia fursa za soko la Afrika Mashariki
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akiongea na wawakilishi kutoka kampuni ya Agricom Afrika Ltd walioshiriki maonesho ya bidhaa za viwanda vya...
View ArticleMabalozi wakabidhiwa Viwanja vya Ofisi Jijini Dodoma
Mkurugenzi wa iliyokuwa Manispaa ya Dodoma na sasa Jiji la Dodoma Bw. Godwin Kunambi akiwaonesha Mabalozi ramani ya Mji wa Serikali ambayo ndani yake kuna viwanja vya kujenga ofisi za kibalozi jijini...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini Kenya waadhimisha miaka 54 ya Muungano wa...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Pindi Chana akiwakaribisha wageni waalikwa katika ufunguzi wa siku ya Tanzania ambayo huadhimishwa tarehe 26 Aprili siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....
View ArticleTanzania na Kenya zaadhimisha mafanikio ya mahusiano ya kibiashara na...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Pindi Chana akitoa neno la ufunguzi katika Kongamano la biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Kenyatta...
View ArticleNaibu Waziri akutana na kufanya mazungumzo na mshindi wa shindano la 28 la...
Mhe. Dkt. Susan Kolimba Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akizunguza na Bi. Queen Elizabeth Manule mshindi wa shindano la 28 la urembo katika taji la World Miss...
View ArticleUbalozi wa Tanzania nchini India ulivyoadhimisha Siku ya Muungano
Mhe. Baraka Luvanda (kulia), Balozi wa Tanzania nchini India akimpokea Mhe. Shri Vijay Goel, Waziri wa Nchi, Masuala ya Bunge na Takwimu wa India katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Tanzania...
View ArticleWafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje washiriki Sherehe za Mei Mosi
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakisherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya maadhimisho...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani nchiniWaziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Mhe. Heiko Maas anatarajia kufanya ziara...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MAFUNZO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIFURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA UMMAWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mrefu katika sekta...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani awasili nchini kuanza ziara ya kikazi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Zanzibar, Mhe. Issa Haji Gavu (kushoto) akimpokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Heiko Maas alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View Article