![]() |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Susan Kolimba akisalimiana na Bi. Queen Elizabeth Manule walipokutana kwa mazungumzo Wizarani jijini Dodoma |
![]() |
Naibu Waziri Mhe. Dkt.Susan Kolimba akimsiliza Mrembo Bi. Queen Elizabeth Manule wapokutana kwa mzungumzo Wizarani jijini Dodoma. |