Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damasi Ndumbaro naye akihutubia kwnye maadhimisho hayo kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa |
Juu na Chini ni sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria maadhimisho hayo wakifuatilia kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa na Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani). |
Waziri Mkuu akiwa kwenye Jukwaa maalumu la kupokea heshima wakati wa maadhimisho hayo |
Viongozi kwenye jukwaa kuu nao wakiwa wamesimama wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa |
Mhe. Kassim Majaliwa akiagana na Dkt. Ndumbaro mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo. |
Mratibu wa Mkaazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bw. Alvaro Rodrigues naye akiagana kwa furaha na Mhe. Kassim Majaliwa |