Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro Akutana na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo...

Naibu Waziri  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisalimiana na Mkuu Kitengo cha Fedha na Uhasibu cha Wizara hiyo Bw. Paul Kabale  leo kabla ya kukutana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mahiga akutana na Mkurugenzi wa Chuo cha Ulinzi na Usalama New Delhi,...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akisalimia na Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Ulinzi na Usalama nchini India Kapt. Guroreet S. Khurana (wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga ziarani nchini India.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.),  akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Sushma Swaraj walipokutana katika Mkutano wa 9 wa Tume ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makabidhiano rasmi ya Ofisi ya Naibu Waziri yafanyika

Mhe. Dkt. Damas Ndubaro (Mb) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekabidhiwa rasmi Wizara hiyo na aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro akutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi wa Kamati ya CPPCC ya China

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya  Mashauriano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka 73 tokea kuanzishwa

Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na Waandishi leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere ikiwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umoja wa Mataifa waadhimisha maika 73 tangu kuanzishwa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim akihutubia katika mahadhimisho ya miaka 73 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa, katika hotuba yake Mhe. Majaliwa amesema kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro atembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Sudani nchini.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damasi Ndumbaro akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Sudani Mhe. Feld Marshal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro Aanza na Makampuni 41

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb.), akizungumza na waandishi wa Habari juu ya ujio wa Ujumbe mkubwa wa wawekezaji kutoka Ubelgiji, katika mkutano huo na waandishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa China

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Wang Ke, katika mazungumzo hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Palestina amekutana na Dkt. Ndumbaro

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hamdi Abduli, katika mazungumzo yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubelgiji yaambiwa iongoze uwekezaji nchini, Mhandisi Manyanya

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUbelgiji yaambiwa iongeze uwekezaji nchini, Mhandisi ManyanyaUbelgiji imetakiwa kuongeza kiwango cha uwekezaji nchini ili kuchochea zaidi kasi ya azma ya Serikali ya awamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mahiga azungumza na Watanzania wanaoishi Italia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa kwenye  Taasisi ya kidini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Dkt. Slaa awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic, na Baltic Mhe. Wilbrod Slaa awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  jijini HelsinkiBalozi Dkt. Slaa akiwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro awa Mgeni Rasmi maadhimisho ya Siku ya Mfalme wa Ubelgiji

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIDkt. Ndumbaro awa Mgeni Rasmi maadhimisho ya Siku ya Mfalme wa Ubelgiji Kampuni 32 kutoka Ubelgiji zilizowekeza Tanzania ni chache ukilinganisha na uwingi wa fursa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Italia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIItalia yaiahidi Afrika Ushirikiano wa kiuchumiMawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia na Afrika wameazimia kukuza na kuimarisha Ushirikiano katika nyanja mbalimbali, hususan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakilishi wa UN WOMEN awasilisha Hati za Utambulisho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi Kenya

aaNaibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu. Mazungumzo yao yalihusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na China zaadhimisha miaka 50 ya ushirikiano katika sekta ya afya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na China katika sekta ya afya ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA TANZANIA, KOMORO WAADHIMISHA MIAKA19 YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Balozi wa Tanzania Visiwani Komoro Mhe. Sylvester M. Mabumba akihutubia kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere, ambapo Ubalozi wa Tanzania kwa kushirikiana na Diaspora ya Watanzania Visiwani Komoro...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>