Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza alipokutana kwa mazungumzo na Balozi Jan. |
Mazungumzo yakiendelea |
Mhe. Dkt. Ndumbaro akimsikiliza Balozi Jan walipokuna kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Ndumbaro akisisitiza jambo alipokutana kwa mazungumzo na Balozi Jan. |