Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoa Huduma Mkutano wa SADC wapigwa msasa

Naibu Kamishna na Mkuu wa Mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania Ali Lugendo akihutubia kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wanafunzi watakao hudumia kwenye Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS,DKT MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA RAIS WA KENYA,MHE.UHURU KENYATTA

Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta nyaraka ya zawadi maalum ya ndege aina ya Tausi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA UMMA NA MAAFISA ITIFAKI WAPATA MAFUNZO KUHUSU UTOAJI WA HUDUMA SADC

Wakufunzi wa mafunzo kwa watumishi wa umma na Maafisa Itifaki watakaotoa huduma kwa wageni watakaoshiriki Mkutano wa 39 wa SADC wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani) wakati wa mafunzo hayo. Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YALAANI MAUAJI USA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YATOA POLE KWA MAUAJI USA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISINI KWA AJILI YA SADC

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisaini pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Wang Ke nyaraka za makabidhiano ya Masada wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA IKO TAYARI KUWAPOKEA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI KWA AJILI YA MKUTANO...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipewa maelezo na Bw. Zuberi Kachingwe Afisa Usafirisahaji, IKULU,wakati Prof Palamagamba John Kabudi akikagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. PALAMAGAMBA JOHN KABUDI AKAGUA PIKIPIKI MPYA KWA AJILI YA SADC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa anashuhudia namna mojawapo ya pikipiki mpya zinazoandaliwa kwa ajili ya mapokezi na kuongoza misafara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MTEULE WA DENMARK AKABIDHI NAKALA ZA HATI YA UTAMBULISHO KWA PROF....

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Balozi Mteule wa Denmark hapa Nchini,Mhe. Mette Norgaard Dissing-Spandet alipofika katika ofisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS CYRIL RAMAPHOSA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MBILI.

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa akiwa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.Rais Ramaphosa amewasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabalozi wa Tanzania watembelea mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMABALOZI WA TANZANIA WATEMBELEA MRADI MKUBWA UMEME WA JULIUSNYEREREMabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kubuni,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WA TANZANIA WATEMEBELEA MRADI WA RELI NA UPANUZI WA BANDARI YA DAR...

Mhe. Nahim Azizi Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Umoja wa Afrika  akisalimiana na mfanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam akiwa na ujumbe wa mabalozi wengine walipowasili bandarini hapo kwa ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Ramaphosa aitembelea kambi ya Wapigania uhuru wa Afrika Kusini iliyopo...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa ameongozana na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa pamoja na mkewe mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabalozi wa Tanzania wahitimisha ziara ya miradi maendeleo

Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha nchi sehemu mbalimbali duniani wakiwa Makao Makuu  ya Kampuni ya Taifa Gas iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam  walipoitembelea kampuni hiyo kwa lengo la kujionea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi za SADC wafunguliwa rasmi

Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wanachama wa  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja wa wajumbe mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 39 wa Kilele wa Wakuu hao wakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA...

Baadhi ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa Katika Mkutano wa 39 wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri akutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya,...

Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisalimiana na Mhe.Jan SADEK Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Botswana walipokutana kwa mazungumzo jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WA TANZANIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO ZANZIBAR

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, (katikati; ambaye pia aliongoza ujumbe wa mabalozi katika ziara) akitoa maelezo kwa Mabalozi...

View Article

MAAZIMIO YA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA SADAC

COMMUNIQUE OF THE 39TH SADC SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE DAR ES SALAAM, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 17 – 18 AUGUST 2019 1. The 39th Ordinary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KABUDI AFUNGUA KIKAO KAZI MAALUMU CHA MABALOZI WATANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri Kabudi afungua rasmi kikao kazi maalum cha Mabalozi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi amewataka Mabalozi...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>