![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhandisi Aisha S. Amour akiangalia uzalishaji wa bilinganya kwa ajili ya utafiti kwa kwa njia ya kitalu nyumba, ‘greenhouse. |
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Mhandisi Aisha S. Amour akingalia uzalishaji wa matango kwa ajili ya utafiti kwa njia ya kitalu nyumba. |
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhandisi Aisha S. Amour akiwa katika maabara ya kiwanda hicho, akipewa maelezo namna ya upimaji ubora wa mazao ya nafaka kabla ya kuchakata na baada. |
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait. Mhandisi Aisha S. Amour, akutana na kufanya mazungumzo viongozi wa Umoja wa Watalii Kuwait kuhusu masuala ya utalii Tanzania. Katika mazungumzo na viongozi hao ambao wanawanachama Zaidi ya 150, ilikubalika kuandaa kwa safari ya watalii Zaidi ya 70 kuja Tanzania mwezi Julai 2020. Aidha, viongozi hao walikubali kuwa mabalozi wa utalii wa Tanzania nchini Kuwait. |