Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI AKIWA GENEVA - USWISI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi(Mb) akisaini katika kitabu cha wageni katika ubalozi  wa kudumu wa Tanzania umoja wa Mataifa uliopo Geneva Nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA YA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA...

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa  kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AKUTANA NA KATIBU MKUU JUMUIYA YA MADOLA

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati aliyeshika kalamu) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AHUTUBIA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU LA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akihutubia katika Kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASENETA WA UFARANSA KUFANYA ZIARA NCHINI

Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa unatarajiwa kufanya ziara nchini kuanzia tarehe 01 hadi 08 Machi, 2020.  Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 29 Februari, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KUFANYIKA TAREHE 16 - 17 MACHI

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unatarajiwa kufanyika hapa nchini kuanzia tarehe 11 hadi 17 Machi, 2020 katika Kituo cha...

View Article

BALOZI MBELWA ATOA RAI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA

Mhe. Mbelwa Kairuki Balozi wa Tanzania nchini China, ametoa rai kwa wafanyabiashara wa Tanzania ambao shughuli zao zinahushisha China, kuwa na subira ya kuzuru China wakati huu ambao tatizo la Corona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA UN, UNHCR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mratibu Mkazi wa Shughuli za Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Zlatan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUMBARO AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NCHINI

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amekutana na kufanya mazugumzo na Balozi wa Cuba nchini Mhe. Prof. Lucas Domingo Hernandez Polledo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Kuuza Makontena 200 ya Maharage nchini Ubelgiji

Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji umepata soko kubwa la maharage machanga ya kijani yanayojulikana kama haricots vertz(green thin beans) nchini Ubelgiji. Soko hilo limepatikana baada ya Balozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUMBARO AKUTANA,KUFANYA MAZUNGUMZO NA MASENETA KUTOKA UFARANSA

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Maseneta sita (6) kutoka Ufaransa walioko kwenye ziara nchini....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Nepal Kuimarisha Ushirikiano

Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Nepal, Mhe. Pradeep Gyawali alifungua rasmi ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini Nepal katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Radisson Jijini Kathmandu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS DKT MAGUFULI KWENDA KWA RAIS TRUMP

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akikabidhi ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenda kwa Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyabiashara Mumbai Wahimizwa Kutumia Air Tanzania

Ubalozi wa Tanzania nchini India wakishirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania [Air Tanzania] waliandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania ni nchi ya mfano katika kulinda haki za watu wenye ulemavu wa ngozi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUMBARO AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA PALESTINA NA USWISI NCHINI

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Balozi Hamdi Mansour AbuAli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI DKT. NDUMBARO AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, NORWAY NA KOREA

Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Balozi Sarah Cooke, Balozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Amour katika juhudi za kutafuta fursa nchini Kuwait

Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhandisi Aisha S. Amour amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fawaz Al-Khaled Al-Hamad Al-Sabah, Gavana wa Mkoa wa Ahmadi, Kuwait.  Uongozi huo wa Mkoa wa Ahmadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. KABUDI AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJITOA MHANGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live