Balozi Sokoine akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi. Glory Mboya mara baada ya kuwasili Wizarani baada ya kuapishwa. |
Balozi Sokoine akisalimiana kwa furaha na Bw. Kelvin Kheri mmoja wa Wafanayakazi Wizarani. |
Mapokezi yakiendelea. |
Balozi Sokoine akisalimiana na Wafanyakazi wa Wizara walipompokea kwa furaha |