Quantcast
Channel: Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China awasili nchini kwa ziara ya kikazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimlaki kwa furaha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao mara baada ya kuwasili katika Uwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China afungua rasmi Kongamano la Uwekezaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe Li Yuanchao akifungua rasmi Kongamano la Pili la Uwekazaji kati ya Tanzania na China. Ufunguzi wa Kongamano hilo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Rais amwapisha Balozi Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Joseph Edward Sokoine ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China afungua Kongamano la Taasisi ya Utamaduni Barani...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Umoja waAfrika,...

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akitoa mchango wa Tanzania kwenye Kikao cha Mawaziri wa Umoja wa Afrika. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Sokoine apokelewa kwa shangwe Wizara ya Mambo ya Nje

Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika akisalimiana na Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uswisi,  Robert Kahendaguza huku Wafanayakazi wengine wa Wizara ya Mambo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete arrives Equatorial Guinea for AU Summit

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili mjini Malabo, Equatorial Guinea kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matukio mbalimbali ya ziara ya Makamu wa Rais wa China Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao akivalishwa shada la maua huku Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akishuhudia mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa vyombo vya habari

                                                                                      PRESS RELEASEH.E President Jakaya  Mrisho  Kikwete of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika, MalaboEquatorial Guinea

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kiongozi wa ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika akiwa amesimama na kupiga makofi baada ya kuimba wimbo wa taifa wa Umoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China amaliza ziara yake nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohamed Gharib Bilal akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao baada ya kukamilisha ziara yake ya siku sita hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Katibu Mkuu afunga rasmi mafunzo ya SOFREMCO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Diplomasia (CFR) kilichopo Kurasini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hon.Membe Guest of Honour at Pope's anniversary

The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Hon. Bernard Kamilius Membe (MP), speaking at the ceremony, hosted by the latter in Dar es Salaam on Friday evening to mark the first...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Membe amuaga rasmi Balozi wa Somalia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Balozi wa Somalia hapa nchini, Mhe. Abdihakim Ali Yasin ambaye alifika Ofisini kwake  kwa ajili ya kumuaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Membe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumuaga aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Membe azungumza na Balozi wa Sweden hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe. Lennarth Hjelmaker alipofika kwa mazungumzo.Mhe. Membe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamfalme Akishino wa Japan kutembelea Tanzania

Mwanamfalme AkishinoTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMwanamfalme Akishino wa Japan na Mkewe wanatarajiwa kuwasili nchini tarehe 02 Julai, 2014 kwa ziara rasmi ya siku tano.Akiwa hapa nchini Mwanamfalme...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Press Release

H.E. David JohnstonPRESS RELEASEH.E. Jakaya Mrisho Kikwete,President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to His Excellency David Johnston, Governor General and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Mfalme Mswati wa II wa Swaziland awasili nchini wa ziara

Ndege iliyombeba Mke wa kwanza wa Mfalme  Mswati ikiwasili katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Juliusa Nyerere jijini Dar es salaam.Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa II wa Swaziland Malikia...

View Article

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat,...

View Article
Browsing all 3230 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>