Mabalozi wengine wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Picha zaidi za baadhi ya Mabalozi waliohudhuria Mkutano huo. |
Baadhi ya Mabalozi wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Bibi Jairo (hayupo pichani) kuhusu maandalizi ya mkutano huo. |
Mkuu wa Sekrtarieti ya Maandalizi ya Mkutano huo hapa nchini, Bibi Victoria Mwakasege (kushoto) akiwa na Bibi Jairo wakati wa mkutano wa Mhe. Membe na Mabalozi. |
Picha zaidi za mkutano kati ya Waziri Membe, Mabalozi na Wakuu wa Masharika ya Kimataita waliopo hapa nchini |