Mhe. Membe amkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. John Baird alipowasili kwenye Hoteli ya Hyatty Regency...
View ArticleTanzania na Canada zasaini Mkataba wa Kulinda na Kukuza Uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K.Membe (Mb.), kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. John Baird wakisaini Mkataba wa Kulinda na Kukuza Uwekezaji (FIPA)...
View ArticleMhe. Membe amkaribisha nchini Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Kimataifa wa Denmark, Mhe. Charlotte Slente...
View ArticleMhe. Membe azungumza na Mabalozi kuhusu Mkutano ujao wa Smart Partnership
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akizungumza na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyopo hapa nchini (hawapo pichani) kuhusu Mkutano wa...
View ArticleDeputy Permanent Secretary hold talks with UK' Royal College of Defence Studies
Ambassador Rajab Gamaha, Deputy Minister of Foreign Affairs and International Co-operation holding talks earlier today with Mr. Jeremy Jarvis, Senior Directing Staff of the Royal College of Defence...
View ArticleU.S. President Barack Obama to visit Tanzania
H.E. Barack Obama, President of the United States of America
View ArticleWARSHA YA WAZI KUJADILI MATOKEO YA UCHAMBUZI WA KINA WA MAENEO YA KIPAUMBELE...
Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (Ikulu) inawatangazia na kuwaalika wadau na wananchi wote kuhudhuria Warsha ya Wazi (Open Day) kupata maelezo, kujadili na kutoa maoni juu ya miradi na program...
View ArticlePresident Kikwete swears in New Ambassadors
The newly designate Ambassadors awaiting to be sworn in, earlier today at the State House in Dar es Salaam. Also in the photo is Judge Aloycius Mujuluzi (right), waiting to be sworn in as the Chairman...
View ArticleDar braces for Obama’s Fever
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation addresses the African Ambassadors and press (not in the photo), earlier today in the Ministry in Dar es Salaam....
View ArticlePresident Kikwete meets with Finland Delegation
H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete (right), President of the United Republic of Tanzania Thursday (May 23, 2013) met with Hon. Dr. Alexander Stubb, Minister for European Affairs and Foreign Trade at...
View ArticleCongratulations to new Ambassadors!
H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania exchanges views with Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, during...
View ArticleRais Kikwete awasili nchini Ethiopia kuhudhuria Sherehe za miaka 50 za Umoja...
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo kutoka kwa Mhe. Prof. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini...
View ArticleMatukio mbalimbali kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (OAU/AU)
Msemaji wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Afrika (AU) Bw. Emmanuel Luangisa ambaye ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkaribisha Mgeni Rasmi,...
View ArticleMaadhimisho ya miaka 50 ya OAU/AU yafana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akimkabidhi Mkuu wa Mabalozi na Balozi wa DRC hapa nchini, Mhe. Juma Khalfan Mpango Mwenge wa Umoja wa Afrika (OAU/AU)...
View ArticleOAU/AU IMEFANIKIWA: MEMBE
OAU/AU IMEFANIKIWA: MEMBENa Ally KondoUmoja wa Afrika (OAU/AU) umepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake mjini Addis Ababa, Ethiopia tarehe 25 Mei, 1963.Hayo yalisemwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
View ArticleTanzania Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi (Mb), akitoa hotuba katika sherehe ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani Duniani ilyofanyika kwenye Viwanja vya Mashujaa, Mnazi...
View ArticleMhe. Membe aongoza kikao cha Menejimenti ya Wizara cha maandalizi ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa na Naibu Waziri, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) wakipitia Makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao na Menejimenti ya...
View Article