Waziri Membe akielezea jambo mara baada ya Gavana kumaliza kutoa mada |
Sehemu ya Watumishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia Semina iliyokuwa ikiendeshwa na Prof. Ndulu. |
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi. Omary Mohamed Maundi akiuliza swali kwa Prof. Ndulu wakati wa semina iliyofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam. |
Prof. Ndulu akifafanua jambo |
Wakurugenzi kutoka Chuo cha Diplomasia wakisikiliza semina iliyokuwa ikitolewa na Prof. Ndulu. Mwenye tai nyeusi ni Dr. Watengere Kitojo na kulia ni Dr. Bernard Archiula. |
Mchumi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Joseph Mwasota akiomba ufafanuzi wa hoja kutoka kwa Prof. Ndulu ambaye hayupo pichani. |
Prof. Ndulu akiendelea kutoa majibu yaliyokuwa yakiulizwa katika semina hiyo. |
Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Paul Kabale (kushoto) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Bw. Mathias Abisai pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Ununuzi, Bw. Elias Suka wakati wa semina hiyo. |
Sehemu nyingine ya washiriki katika Semina hiyo |
Prof. Benno Ndulu akibadilshana mawazo na Mkurugenzi wa Masomo wa Chuo cha Diplomasia Dkt. Watengere Kitojo. |
Waziri Membe akizungumza na na Waandishi wa Habari |
Picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Semina. Picha na Reginald Philip na Reuben Mchome |