WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA MADOLA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiongoza Mkutano wa 45 wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola, (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) unaofanyika...
View ArticleTanzania na China kuendeleza ushirikiano kwenye Sekta ya Uwekezaji na Viwanda
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya...
View ArticleMkurugenzi wa Afrika kutoka China amaliza ziara nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Balozi Liu Songtian akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu ziara yake ya siku...
View ArticleTANZANIA HIGH COMMISSIONER’S SECRETARY IN LONDON WINS UK DIPLOMATIC AWARD
Present with Ms. Kiondo was H.E. Peter Kallaghe, Tanzania High commissioner to the UK (left). Mr. Blackson Bayewumi, President of the Commonwealth Youth Foundation.==============================Ms....
View ArticleTASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK
Mhe. Waziri Simba akisalimiana na First Lady wa Kenya Mama Margaret Kenyatta, First Lady huyu hukimbia mbio za marathon kama njia moja wapo ya kufatua raslimali za kuwasaidi akina mama wenzie na...
View ArticleZiara ya mafunzo kutoka U.S. Army War Collage ofisi za Uwakilishi wa Kudumu...
Mhe. Balozi akielezea jambo mbele ya kikundi cha wanajeshi wanafunzi ambao wapo katika mafunzo katika chuo cha U.S Army War Collage, wanafunzi hao walipata fursa ya kumuuliza Balozi maswali...
View ArticleWAZIRI MEMBE AKUTANA NA MTANZANIA ALIYESHINDA TUZO ZA COMMONWEALTH MJINI LONDON
Mhe. Bernard Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na Julius James Shirima, mshindi wa Tuzo ya Vijana wa Nchi za Jumuiya ya Madola upande wa Afrika. Kwenye mazungumzo...
View ArticlePress Release
H.E Michael D. Higgins, President of IrelandPRESS RELEASEH.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Michael D. Higgins, President...
View ArticlePRESS RELEASE
Hon. Bernard Membe (left), Minister for Foreign Affairs and International Cooperation in a photo with Mr. Julius Shirima, winner of the African region and an overall winner amongst 18 finalists for...
View ArticleWaziri Mkuu akutana na Watanzania waishio nchini Japan
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori Uno,machi 17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye aliishi Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika...
View ArticleWaziri Membe amwakilisha Rais Kikwete, Lesotho
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha...
View ArticleGavana wa Benki Kuu ya Tanzania awasilisha mada kwa Watumishi wa Wizara ya...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada kuhusu "Exchange Rate Developments in Tanzania and Implications for the Economy" kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
View ArticleRais Kikwete awasili Burundi kulihutubia Bunge la EAC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Maua kutoka kwa watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bujumbura ambapo alianza ziara ya kikazi ya siku mbili.Rais wa Burundi Pierre...
View ArticleRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo Rais alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika...
View ArticleRais Kikwete ampongeza Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hague Geingob
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mpya wa Namibia Dkt.Hage Geingob wakati wa sherehe za kuapishwa kwake zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Uhuru wa Namibia jijini Windhoek...
View ArticleTANZANIA CHILDREN'S PROJECT YAFANYA HARAMBEE KUSAIDIA WATOTO TANZANIA...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akihudhuria harambee ya Tanzania Children's Project inayoshughulisha na miradi ya afya na elimu Tanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi March...
View ArticleMagari ya Kitalii ya Tanzania ruksa kuingia Uwanja wa Jomo Kenyatta: Waziri...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya Serikali za...
View ArticleWaziri Membe awaasa waimbaji wa nyimbo za injili nchini kuwa chachu ya amani...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe (Mb.) amezindua albamu mbili za nyimbo za injili zinazokwenda kwa majina ya "Pisha Mbele" na "Ni Ujumbe wa Bwana" za mwimbaji Mercy...
View ArticlePRESS RELEASE
Prime Minister of Singapore, H.E. Lee Hsien Loong PRESS RELEASEH.E. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a condolence message to H.E. Lee Hsien Loong, Prime...
View ArticleWaziri Membe mgeni rasmi Maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Namibia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Jamhuri ya Namibia. Maadhimisho hayo ambayo yaliandaliwa na...
View Article