![]() |
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiangalia picha ya utalii wa Tanzania iliyopo kwenye eneo la mapokezi la jengo jipya la Tanzania jijini New York Marekani wakati wa ufunguzi. |
![]() |
Baadhi ya Maafisa wa Ubalozi ambao walishiriki kwenye uzinduzi huo. (kushoto-Kulia) Noel Kaganda, Justin Kisoka na Alfred Swere. |