Waziri Membe awapokea Rais Museveni na Rais Nkurunziza kwa ajili ya Mkutano...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akimpokea Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,...
View ArticleRais Kikwete afungua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Ukanda wa Kati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Wakuu wa Nchi zinazounda Ukanda wa Kati yaani Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
View ArticleRais Kagame awasili Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Uwekezaaji wa Ukanda...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini...
View ArticlePRESS RELEASE
King of Spain, H.M Felipe VIPRESS RELEASEPresident of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has sent a condolence message to the King of Spain, H.M. Felipe VI following...
View ArticlePRESS RELEASE
Presidente of German Joachim GauckPRESS RELEASEPresident of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has sent a condolence message to H.E. Joachim Gauck, President of the...
View ArticleTanzania yaikabidhi Malawi msaada kwa ajili ya Wahanga wa mafuriko
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Patrick Luciano Tsere (kulia) akikabidhi Dawa za Binadamu na Mahindi kwa Bw. Paul Chiunguzeni, Katibu Mkuu na pia Kamishna anayeshughulikia masuala ya Maafa...
View ArticleMh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime
Wazir wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ambapo wanafunzi hao walipata...
View ArticleRais Jakaya Kikwete azindua jengo jipya lenye Ofisi za Uwakilishi wa Tanzania...
Rais Kikwete akikata utepe pamoja na Mhe. Mahadhi Juma Maalim, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na viongozi wengine, kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Uwakilishi...
View ArticleUjumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.Elibariki Maleko(katikati) akizungumza kuukaribisha Ujumbe...
View ArticlePicha na Matukio ya Ufunguzi wa Jengo la Tanzania Jijini New York
Jengo la ghorofa sita la Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Jengo hilo lipo karibu na Ofisi za Umoja wa Mataifa anuani namba 307 East 53rd...
View ArticleWaziri Membe atoa wito kwa Watanzania kuwasaidia watu wasiojiweza kwenye jamii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akimtazama kwa furaha mmoja wa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani kilichopo Kigogo...
View ArticleWaziri Membe awaasa vijana nchini kumcha Mungu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya miaka 15 ya Tamasha la Pasaka. Tamasha hilo linaloandaliwa kila mwaka na Kampuni ya...
View ArticleRais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, Maofisa na Watumishi wa...
Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa akitoa mada katika semina ya masuala ya diplomasia ya uchumi kwa Mabalozi, Maofisa na Watumishi wa Wizara ya Mambo...
View ArticleRais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, Maofisa na Watumishi wa...
Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa akitoa mada katika semina ya masuala ya diplomasia ya uchumi kwa Mabalozi, Maofisa na Watumishi wa Wizara ya Mambo...
View ArticleRais amteua Mhe. Mgaza kuwa Balozi wa Saudi Arabia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhe. Hemed Iddi Mgaza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia.Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi...
View ArticleBalozi Kairuki akutana na Balozi wa India kuzungumzia Mahusiano kati ya...
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akiwa na Balozi wa India hapa Nchini Mhe. Debnath Shaw wakiwa katika...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) ameanza ziara ya kikazi katika nchi za Qatar, Kuwait na Oman kuanzia tarehe 11 – 17 Aprili...
View ArticleWaziri Membe yupo Nchini Quatar Kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane...
View ArticleKamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yatembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamah akifungua kikao kati ya Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Kamati ya Kudumu ya...
View Article