Mhe. Kaur akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake rasmi na Mhe. Membe (hayupo pichani). Kulia kwa Mhe. Kaur ni Balozi wa India hapa nchini Mhe. Debnath Shaw. |
Mazungumzo yakiendelea. |
Mhe. Membe na Mhe. Kaur wakielekea kwenye ufunguzi rasmi wa mkutano wa Tume ya Ushirikiano kati nchi hizi mbili. |