Matukio mbalimbali yaliyofanyika wakati wa Mkutano wa Wake wa Marais wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi Mkutano wa Wake wa Marais wa Afrika uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 2 na 3 Julai...
View ArticlePresident Kikwete congratulates US President Obama on the occasion of the...
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Barack Obama, President of the United States of America on the occasion of the...
View ArticleTanzania/Japan meet for their Annual Consultation meeting on Economic...
Dr. Philip Mpango, Executive Secretary of the President's Office Planning Commission gives his opening remarks during the meeting between Tanzania and Japan on economic cooperation of the two countries...
View ArticleMhe. Membe akutana kwa mazungumzo rasmi na Waziri wa Mambo ya Nje wa India
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (katikati) akiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Bibi Preneet Kaur (hayupo pichani)...
View ArticleMhe. Membe afungua Mkutano wa Tume ya Ushirikiano kati ya Tanzania na India
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC) kati ya Tanzania na...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKikao cha 15 cha Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (The SADC Ministerial Committee of the Organ...
View ArticleMhe. Rais Kikwete akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Preneet Kaur alipofika kwa ajili ya mazungumzo rasmi. Mhe. Kaur yupo...
View ArticleHafla ya Chakula cha Jioni yafanyika kwa heshima ya Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkaribisha katika hafla ya Chakula cha Jioni Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Preneet Kaur (mwenye nguo ya pinki...
View ArticleTanzania na India zasaini Makubaliano ya Pamoja ya Mkutano wa JPC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Preneet Kaur wakisaini Makubaliano ya Pamoja ya Mkutano wa 8 wa Tume...
View ArticleMkuu wa Majeshi afungua Mkutano wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama wa Asasi ya SADC
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Generali Devis Mwamunyange akifungua rasmi Mkutano wa Makatibu Wakuu na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya...
View ArticleKaimu Katibu Mkuu afungua Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Asasi ya SADC
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Mambo ya Nje wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa...
View ArticleMhe. Membe amuaga Balozi wa Uholanzi hapa nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akiongea kwa msisitizo wakati wa hafla ya kumuaga Mhe. Ad Koekkoek ambaye ni Balozi wa Uholanzi aliyemaliza muda wake wa...
View ArticleTanzania na Kuwait zasaini Mkataba wa Ushirikiano katika masuala ya Siasa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akimkaribisha nchini Mhe. Sheikh Khalifa Al Hamad Al Sabah, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait ambaye...
View ArticleUN Chief condemns attack that killed seven peacekeepers in Darfur
Remains of peacekeepers killed in ambush in South Darfur are prepared for repatriation to their home country of Tanzania. Photo: UNAMID/Saidi Msonda13 July 2013– Secretary-General Ban Ki-moon expressed...
View ArticleTAMKO LA RAIS KIKWETE KUHUSU VIFO VYA WANAJESHI 7 SUDANI
Tamko la Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuhusu tukio la DarfurRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa...
View ArticleMakamu wa Rais, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wahudhuria Mkutano wa Afrika...
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mfalme Mswati wa Swaziland III, wakati wa Mkutano wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua...
View ArticleArticle 0
TANZIAWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Bw. Dismas Mathias Kajogoo, Afisa Mawasiliano Mkuu kilichotokea Moscow, UrusiTaarifa ya...
View Article