Maseneta wa Ufaransa wataka uanzishwe Ushirikiano wa Kidugu kati ya jiji la...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMaseneta wa Ufaransa wataka uanzishwe Ushirikiano wa Kidugu kati ya jiji la Dodoma na ParisTanzania na Ufaransa zimeahidi kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo; kuongeza...
View ArticleFinland yaipongeza Tanzania vita dhidi ya Rushwa.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIFinland yaipongeza Tanzania vita dhidi ya Rushwa.Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland, Mhe. Timo Soini.amepongeza jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano...
View ArticleSerikali ya Awamu ya Tano kuendelea kulinda na kutetea Haki za Binadamu-Prof....
Waziri wa katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akihutubia Kikao cha 40 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika jijini Geneva nchini UswisiMhe. Prof. Kabudi alipata...
View ArticleRais Magufuli akutana na Makamu Rais Mtendaji wa JICA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan (JICA), Bw....
View ArticleProf. Kabudi akutana na viongozi mbalimbali wakati wa kikao cha 40 cha Baraza...
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha 40 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (wa tatu kushoto)...
View ArticleWatumishi wa Mambo ya Nje wahimizwa kuzingatia sheria za utumishi wa umma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akizungumza kwenye kikao cha pili na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI WAWILI, BALOZI MMOJA PAMOJA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, atawasili...
View ArticleRais Kagame awasili nchini kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (kulia) akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege...
View ArticleProf. Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Mhe. Dkt. Richard Sezibera. Katika...
View ArticleSakata la Chuo cha Diplomasia lahamia Takukuru
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji K. Mnyepe (kulia) akikabidhi ripoti za ukaguzi za Chuo cha Diplomasia, kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na...
View ArticleSerikali ya awamu ya tano haichukii wawekezaji, Dkt. Magufuli
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISerikali ya awamu ya tano haichukii wawekezaji, Dkt. MagufuliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amesema Serikali ya awamu ya tano...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHakuna Mtanzania aliyepoteza maisha kwenye ajali ya ndege iliyotokea EthiopiaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini India awasilisha Hati za Utambulisho nchini Bangladesh
Balozi wa Tanzania nchini India anayewakilisha pia nchini Bangladesh, Mhe. Baraka Luvanda akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Bangladesh, Mhe. Md. Abdul Hamid katika hafla...
View ArticleProf. Kabudi na Dkt. Mahiga wakabidhiana ofisi
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akikabidhi Taarifa ya Makabidhiano ya Wizara ya Mambo ya...
View ArticleProf. Kabudi na Dkt. Mahiga wakabidhiana majengo ya ofisi za Wizara zao Mtumba
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkabidhi Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, mchoro wa jengo la Ofisi za Wizara ya Mambo...
View ArticleProf. Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Prof. Palamagamba J. Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa...
View ArticleBalozi wa Canada atembelea Wizara ya Mambo ya Nje
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIBalozi wa Canada atembelea Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Jestas A. Nyamanga, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika-Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
View ArticleNafasi za masomo na ajira
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARINafasi za masomo na ajiraWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwahimiza Watanzania wenye sifa kuomba fursa za masomo na ajira zinazotolewa na...
View Article