MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA USIMAMIZI WA...
Meza Kuu ikifuatilia majadiliano yaliyokuwa yakiendelea wakati wa Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Mazingira na Usimamizi wa Maliasili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA 33 WA UMOJA WA AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa 33 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unaoendelea Addis Ababa,Ethiopia. Nyuma yake ni...
View ArticleKATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI...
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge amekabidhiwa Ofisi rasmi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Faraji K. Mnyepe...
View ArticleDKT. NDUMBARO AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANAOWAKILISHA KUNDI LA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi tano (5) hapa nchini wanaowakilisha kundi...
View ArticleDKT. NDUMBARO, BALOZI IBUGE WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS MSTAAFU WA...
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge wamesaini kitabu cha maombolezo...
View ArticleBALOZI KANALI IBUGE AKUTANA,KUFANYA MAZUNGUMZO NA SEKRETARIETI YA SADC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa...
View ArticleBALOZI IBUGE AKUTANA, AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA IOM
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia...
View ArticleNAIBU WAZIRI DKT.NDUMBARO AHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA ENEO LA USHOROBA WA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha zira yake katika Mikoa inayopitiwa na mradi wa maendeleo wa kuboresha miundombinu ya Ukanda wa...
View ArticleWAZIRI KABUDI: WATUMISHI FANYENI KAZI KWA BIDII NA USHIRIKIANO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuchapa kazi kwa bidii na kuendelea kutoa ushirikiano wa kutosha...
View ArticleKatibu Mkuu Mwaluko azitaka sekta zishirikiane kukabili maafa
Na. OWM, ZANZIBAR“Tatizo la athari za maafa yanayotokana na majanga ya asili linahitaji ushiriki wa sekta zote ili kukabiliana nalo ipasavyo, katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
View ArticleArticle 1
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Mheshimiwa Jestas Abuok Nyamanga akiwa na Mfalme wa Ubelgiji, Mtukufu Philippe mara baada ya kuwasilisha Hati zake za utambulisho kwa Mfalme huyo katika kasri yake...
View ArticleArticle 0
UBELGIJI NA TANZANIA ZAPANIA KUDUMISHA URAFIKI NA KUONGEZA USHIRIKIANO. Ubelgiji na Tanzania zimedhamiria kudumisha urafiki na kuongeza zaidi ushirikiano katika ubia wa maendeleo, uwekezaji, biashara,...
View ArticleVACANCY ANNOUNCEMENT
PRESS RELEASEVACANCY ANNOUNCEMENT AT THE COMMONWEALTH SECRETARIATThe Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has received vacancy notification from the Commonwealth Secretariat...
View ArticleBALOZI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Balozi Mubarak Mohammed...
View ArticleRais wa Zanzibar afungua Kikao cha Mawaziri wa SADC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema “Kufanyika kwa Mkutano wa SADC ni hatua muhimu katika kujenga matumaini mapya ya wananchi kuhusiana na maafa,...
View ArticleUNESCO YATAMBUA KISWAHILI KAMA LUGHA ITAKAYOSAIDIA KUKUZA UTANGAMANO BARANI...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu katika UNESCO, Mhe. Samwel Shelukindo akizungumza kwenye Mjadala kuhusu "Fursa na Changamoto za Kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ya Bara...
View ArticleTANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI INDIA
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kulia) akipokea Tuzo ya Utalii baada ya Tanzania kuibuka mshindi kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la Utalii wa Wanyamapori duniani nchini India kwa...
View Article